Huu muujiza na ushuhuda niliosikia kwa Mwamposa umenistua

Aaaaaaah huyu jamaa ni noma labda malaika wanatumia Tigo wakaamua kumpooza
 
Waarabu wanaamini sala za sheikh mweusi hazifiki mbinguni.

Ijumaa wanaenda kwenye misikiti yenye mashekhe rangi nyeupe.

Ni kweli?
 
😂😂😂😂😂Anakwambia anavunja roho za uchawi na mizimu😂😂😂 upumbavu kabisa huu.

Hawa watu hiv hakunaga njia mbadara ya kuwatibu kisaikolojia ama kuwapa ushauri nasaha ili waache kuamini ujinga
Imani ina nguvu sana ukizamia humo ni shida kutoka. Kuna watu wanaamini mambo ya Alien huwaambii kitu, kuna watu wanaamini story za freemason(niliwahi kuwa mmoja wapo ila nilibahatika kujitoa) kila tukio linahusoshwa na freemason ndiyo wamepanga hivyo na unakubali, kuna wengine wanaamini vyama vyao vya siasa pamoja na viongozi wa vya vyama vyao hao hukosoi chama wala viongozi wao wakakubali tu, wengine wanaamini mambo ya saikolojia ambapo wakati mwengine hayana sana uhalisia na mimi nilikuwa mmoja wapo.
 
Waarabu wanaamini sala za sheikh mweusi hazifiki mbinguni.

Ijumaa wanaenda kwenye misikiti yenye mashekhe rangi nyeupe.

Ni kweli?
lete Ushaidi wa andiko la kitabu Cha wa Waislamu tuone ukweli wake,
 
Daaah mwamposa anatupiga na kitu kizito sana
 
WAJINGA NJOO WEREVU TUPATE
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Eti "roho mtakatifu alilipia makato" [emoji1787]
 
Ujasiriamali wa dini. Ukiona mkeo kaenda mkutano wa Mwamposa ujue huna mke tena.
 
Wakristo mazuzu?

Na wale wanaojilipua wakapate mabikra 72 mbinguni ?
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…