Huu muujiza na ushuhuda niliosikia kwa Mwamposa umenistua

Unategemea nini toka kwa watu waliokubali kuitwa wanakondoo? Kondoo hawana akili unawaswaga tu wanaenda unakotaka.
Si kwa maana hiyo ya moja kwa moja, vinginevyo una tatizo la lugha kama taaluma, maana ukilitazama kwa mantiki utapapa maana halisi, ila for beginners mambo haya huwa yanawaletea matatizo
 
😂😂😂😂🔥
 
Mdogo wangu imebaki nimnase mavibao sasa ndio kilichobaki... Maana hasikii na hawa matapeli
 
Si kwa maana hiyo ya moja kwa moja, vinginevyo una tatizo la lugha kama taaluma, maana ukilitazama kwa mantiki utapapa maana halisi, ila for beginners mambo haya huwa yanawaletea matatizo
Mimi naongelea wanakondoo, kwani wewe unazungumzia nini mkuu?
 
iko hivi, zile pesa za sadaka tunazo mtolea Mungu. Mungu akaona isiwe shida, acha ampe mjawake.
Basi Mungu akatumia Private Number kutuma Mpesa kwa Mjawake.
ni hivyo tu, tukazane kuomba
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji1787]
 
dah halafu majamaa matajiri kishenzi..

hivi watoto wao nao wanasali kwenye hayo makanisa yao? na kupokea hiyo miujiza..? watoto wao wanasoma kwenye hizi shule wanazomesha wanakondoo?
Watoto wao wengi wanakuwaga vya pombe na Bata sana
 
Pokeaa muujiiiiiiiza Kwa Jina la Yesu!

Ameeeeeen!

Pokeaa muujiiiiiiiza Kwa Jina la Yesu!

ameniiiiiiiiiiiiiii!



Ukapate muujiza wa gari ukapate muujiza wa nyumba,ukapate muujiza wa kazii omba muujizaaaaaa!

Kondoo: Ameeniiiiiiiii!


Haya wapendwa tunaomba ule mchango wa ujenzi wa nyumba na ununuzi wa gari la mchungaji wetu bwana atawabriki Sana!

Mimi:😲😲😲😲😲
 
Haya mambo mtu akinasa huwezi kumtoa ni kusubiri rehema tu imdondokee
Ukiweka na ubishi na ujuaji alionao huyu dogo ntakoma asee.... Sema huyu ntamtoa huko na maviboko

Haiwezekani wazazi wakulipie ada na Hela ya matumizi upeleke kwa hao artificial power[emoji848]

Ntamtandika huko huko mbezi kanisani mbele ya huyo jamaa, nimeshachafukwa vya kutosha
 
[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787]

Mwenyezi Mungu akikupa akili ya kuwajua hawa watu unabaki tu unacheka na kuwasikitikia waliopotea humo
 
Anapeleka ada kwa mwamposa? Huyo sasa kavuka kipimo.
Wengine hapo eti wanaendaga kuombewa michepuko yenye familia iwe inachunika kirahisi iache ubahiri.
 
Dini ya kikristo imeingiliwa na waganga wa kishetani, wachawi na matapeli.

Na huu ni mwendelezo wa mwisho wa hii dini.
So sad😣!
 
Aisee, mi nahisi huwa wanafundishwa cha kusema mbele ya kamera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…