Huu mwaka 2023 kuna watu bado wanamsikiliza Issa Shivji?

Umesema vitu jumuishi bila kurejea vifungu alizosema Shivji...wewe utakuwa mnufaika wa DPW
The Boss angempinga Shivji hoja kwa hoja na kusema wapi Shivji kakosea na kuja na hoja mbadala siyo ku generalize a bunch of statements Shivji may have made, in a vague and out of context manner. Halafu kwani Mwanasheria huwa ana expiry date? Sheria si zilezile?
 
The Boss angempinga Shivji hoja kwa hoja na kusema wapi Shivji kakosea na kuja na hoja mbadala siyo ku generalize a bunch of statements Shivji may have made, in a vague and out of context manner.
Hoja zake zote kuhusu IGA hazina mashiko since hata Dpworld wenyewe wamesema hawasaini mkataba kuhusu Bandari ya Tanzania....yeye kama wengine kalazimisha Tu kuwa IGA ndo mkataba na final...kitu ambacho hayuko sahihi
 
Hoja zake zote kuhusu IGA hazina mashiko since hata Dpworld wenyewe wamesema hawasaini mkataba kuhusu Bandari ya Tanzania....yeye kama wengine kalazimisha Tu kuwa IGA ndo mkataba na final...kitu ambacho hayuko sahihi
Hii naona umedandia hoja ya Tulia Ackson ya jana au leo sijui. Sasa naomba utufahamishe tofauti kati ya MKATABA kama Mawakili lukuki, Wasomi wa Sheria Wabobevu na Wanasiasa Makini walivyotafsiri hili la DPW na Tanzania na MAKUBALIANO kwa namna unavyoelewa wewe kulingana na hoja ya Tulia Ackson. Jee, ni MKATABA kweli au MAKUBALINO? Nini tofauti?
 
Tuanze na hao mawakili luluki kina nani?hawana conflicts of interest?
 
Mimi nilishamdharau prof. Shivji tangu aliooyakana maandiko na machapisho yake ya miaka na miaka ya kupinga serikali mbili na kutaka serikali tatu.

Alipolishwa mkate wakati wa bunge la katiba akaunga mkono serikali mbili.

Huyu gabachori hana jipya. Ni msakatonge
 
Ni akili zero brain hao sawa na wale wanaomsikiliza yule Babu mihogo Slaa..

Wamestaafu utumishi Hadi akili yaani hawana jipya.
 
Prof Issa Shivji kwa jumla ni Mjamaa tena Mjamaa sio wa kina Cleopa Msuya ni Mjamaa wa itikadi …tusijifiche kwny itikadi zake tujibu hoja zake

kwmy suala la bandari amejaribu kuwa very clear

Wajibu wa DP World kwny Mkataba ni upi?

Mkataba umejaa wajibu wa Serikali na haki za Bepari

Haki za Serikali na wajibu wa DP zipo page number ngap?



inashangaza watu wakihoji vipengele vya 'karatasi la kufungia vitumbua ' watu wanatutajia Nchi ambazo DP anaendesha Bandari wengine wanatutajia masaa yatakayotumika kushusha Kontena kutoka kwny Meli? mnajitoa akili au akili zimetoka kweli ?
 
Umesema vitu jumuishi bila kurejea vifungu alizosema Shivji...wewe utakuwa mnufaika wa DPW
Kuna watu ambao kwa umakini wao kila wanalosema linatakiwa kuchukuliwa Kwa umakini wa hali ya juu. Mojawapo ni akina Jaji Warioba, Prof. Shivji na wenzao wa hivyo. Yaani Waziri mkuu wa sasa ikitokea katoa statement contrary na ya waziri mkuu mstaafu Warioba bila hata kupoteza muda nitaiamini ya Warioba.
 
Leo nimeamini kuwa wewe ni mnazi wa Samia na sio mnazi wa Taifa na pia utakuwa sio mtanganyika
 
Watanzania hamuwezi kujiendesha wenyewe. UBINAFSISHAJI ndiyo njia pekee ya kuukuza uchumi. Na tunaona mafanikio hayo. Kama wewe huoni ni upofu huo sasa
Usiwe mpubavu. Ni wapi nilipoandika kuutataa ubinafsishaji, unayo akili timamu wewe ya kusoma na kuelewa kilichoandikwa?
Hopeless kabisa.

Sikubaliani na hiyo dhana yako potofu ya kijumla jumla tu "Watanzania hamuwezi kujiendesha wenyewe"

Huu ni upumbavu wa ajabu sana kuwa nao binaadam yeyote.
 
Nilitamani kumsikia kikwete na Samia ila wapo kimya
 
Hao timu makasuku unafiki utawauwa huyo zembwe Kuna wakati alikuwa akimponda mond mwisho wa siku ndio boss wake
 
Huyo ni fisadi.
Bila ya shaka yoyote. Huyo mtu anayejiita "The Boss" ni mnufaika mkubwa sana wa haya matakataka anayoyatetea yeye.

Sasa kajipambanua sana; ile tahadhari aliyokuwa kaiweka huko siku za nyuma kaachia upepo uipeperushie mbali.

Kawa kipofu kabisa, hata haoni panapotolewa tahadhari, yeye anadhani ni kupinga tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…