Huu mwaka 2023 kuna watu bado wanamsikiliza Issa Shivji?

Mjibu tu hoja zake... Hayo mengine sio pahala pake hapa...,😊
Kuna wakati inabidi uangalie mwenye ID coz kuna watu tunawaita elites kwa michango yao lakini unaposoma michango yao iliyojaa uchawa na kukosa uzalendo unashangaa sana.

Hapa issue ni ugali, ndipo taifa lilipo kwa sasa.
 
Zanzibar alishauziwa Hussein Mwinyi wa kutokea Mkuranga zamani, umelala nini? Wewe mwenyewe unauza, umekosa soko nini leo? kuna kijana rijali akaongea utumbo namna hiyo.
Toka DP world itolewee wazii, ndo nimekupata vizuriiii.
Jibu hoja, acha kumshambulia personal, au huna hojaa??

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bibi umeshikwa pabayaaa
 

Un sound kama vile ni mmoja wa wanufaika wa moja kwa moja wa DP WORLD.
 
Hii ID ya mwanzisha mada imegeuka kituko sana. Ni moja ya ID iliyokuwa inaheshimika sana kumbe issues huwa ni ugali tu sio uzalendo.
Yaan anajidhalilisha mno siku hizi, tobaaaa wee.
 
Toka DP world itolewee wazii, ndo nimekupata vizuriiii.
Jibu hoja, acha kumshambulia personal, au huna hojaa??

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bibi umeshikwa pabayaaa
Hoja si kuuzwa hapo, au huelewi unachokisoma?

Hussein Mwinyi kisha uziwa Zanzibar, ndilo jibu lanu. Nini usichokielewa hapo? Usilete unanihii wako hapa.
 
Umesema vitu jumuishi bila kurejea vifungu alizosema Shivji...wewe utakuwa mnufaika wa DPW
Hili nilishaligundua kuwa huyu The Boss na FaizaFoxy ni Kitenge na Zembwela wa JF na inaelekea waliandaliwa kabisa kuipigia debe DP-World

Halafu wanajikuta Wajuaji saana

Hawa sio wa kusikilizwa, kama Wananchi tunabaki na msimamo wetu, Mkataba wa DP- World sio rafiki kwetu na ni wa kiunyonyaji

PROF. ISSA SHIVJ yupo sahihi sana
 
Hoja si kuuzwa hapo, au huelewi unachokisoma?

Hussein Mwinyi kisha uziwa Zanzibar, ndilo jibu lanu. Nini usichokielewa hapo? Usilete unanihii wako hapa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kheeeh ko Zanzibar kauziwa Mwinyi wa mkuranga? Na wazenji wamekubalii? Bas hilo ni la kwao.

Sisi wa Tanganyika.hatutaki kuuzwa kokote, habari ikukaee hivyo.
 
[emoji16][emoji16]Mkuu hii ndiyo response yako juu ya tofauti kati ya MKATABA na MAKUBALIANO? Nilikuwa najua umejipanga unajua unachoandika, na ungetupa soma la kisheria la mambo ya IGA na vitu kama hivyo. Kumbe na wewe hujui lolote?
Huyo Kilaza,hamna kitu.Anabishana na Professor,ameshafanya Research kibao,yeye kutwa upo humu JF kupiga soga na kutetea upuuzi wa Samia na CCM!
 
Sasa mbona mkapa mwenye ktk kitabu chake anajilaumu sana na ubinafsishaji? na ana amini alifanya kosa kubwa?

Mkapa anasema kama angepata nafasi tena ya kuwa rais angeondoa hicho kitu maana hakimnuafaishi mtanzania
 
Timu iko vizuri lakini hujaandika first 11 wote pamoja na sub zake
 
Awamu hii ya sita ni ya ajabu sana. Ufisadi ni kitu kibaya sana, kinauondoa kabisa utu wa mtu. Fisadi ni kama mchawi, yuko tayari kumuua na kumtoa kafara mwanae aliwe nyama almradi aulinde uchawi wake.
 
Kuna wakati inabidi uangalie mwenye ID coz kuna watu tunawaita elites kwa michango yao lakini unaposoma michango yao iliyojaa uchawa na kukosa uzalendo unashangaa sana.

Hapa issue ni ugali, ndipo taifa lilipo kwa sasa.
Haya....
Nimekusoma.
 
Watanzania hamuwezi kujiendesha wenyewe. UBINAFSISHAJI ndiyo njia pekee ya kuukuza uchumi. Na tunaona mafanikio hayo. Kama wewe huoni ni upofu huo sasa
Kama hatuwezi kujiendesha Bora serikali ndiyo hao wanao weza wapewe waiendeshe.
 
Na mechi ni dondo maana hakuna mkataba
 
Leo mnamuona mkapa anamaana sana baada ya miaka mingi kumsema na kumchafua.
Hii DPW yenu haipiti hivi hivi. Na ikipitishwa itakutana na sabotage za hatari kwa kuwa wengi wameikataa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…