The ice breaker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2023
- 880
- 1,985
Wakulungwa , huu mwaka 2025 Mimi nimeamua kula Bata na kufurahisha nafsi yangu, Yani ni mwaka sio wa kujitesa tena .
Haya maswala ya kutafuta pesa na Bado hauli Bata nimeona sio kweli..maisha yenyewe mafupi haya , time yoyote unaweza ukakata moto na pesa zako
usifaidi wa kafaidi wengine ambao hawana hata uchungu nazo
Maswala ya kuwa kutajiri, sio lazima wote tuwe matajiri, hata Moo akiwa tajiri inatosha .. Si fosi utajiri sahivi, kama uje , uje tu , usipo kuja nayo fresh , maana sitazikwa hata na Infinix yangu 🤣
2024 nimetafuta sana pesa nimetafuta sana pesa , lakini sioni Cha maana Nilicho Fanya , zaidi ya kulipia ma bills na kusaidia ndugu na kulipa Madeni.. Yani ni usenge tu