Huu mwaka ni wa kula Bata tu

Huu mwaka ni wa kula Bata tu

The ice breaker

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2023
Posts
880
Reaction score
1,985
Wakulungwa , huu mwaka 2025 Mimi nimeamua kula Bata na kufurahisha nafsi yangu, Yani ni mwaka sio wa kujitesa tena .

Haya maswala ya kutafuta pesa na Bado hauli Bata nimeona sio kweli..maisha yenyewe mafupi haya , time yoyote unaweza ukakata moto na pesa zako
usifaidi wa kafaidi wengine ambao hawana hata uchungu nazo

Maswala ya kuwa kutajiri, sio lazima wote tuwe matajiri, hata Moo akiwa tajiri inatosha .. Si fosi utajiri sahivi, kama uje , uje tu , usipo kuja nayo fresh , maana sitazikwa hata na Infinix yangu 🤣

2024 nimetafuta sana pesa nimetafuta sana pesa , lakini sioni Cha maana Nilicho Fanya , zaidi ya kulipia ma bills na kusaidia ndugu na kulipa Madeni.. Yani ni usenge tu
 
5ba266b2-b44d-4317-be25-6cca72edb6d0.jpeg
 
Wewe kula maisha mzee mimi nimejiongezea uwezo wa matatizo yaan nime-upgrade matatizo mwaka huu nataka uwe mwaka wa matatizo mengi ambayo nitayatatua ndani ya muda mfupi yaan nafanya mambo makubwa yasiyowezekana kufanywa na watu wengi, wapo wanaosema tunaishi mara moja ila mimi nakataa nakwambiaje tunaishi mara mbili ya kwanza unapewa warning ⚠️ unatoa sababu kwanini upewe second chance ya kuishi ukisema ikiwa na mashiko unapewa second chance unaishi ila mara ya pili ukienda ndio kwa kheri hurudi tena, km utani vile usifikiri natania au nakuongopea jaribu kwenda uone
 
Wewe kula maisha mzee mimi nimejiongezea uwezo wa matatizo yaan nime-upgrade matatizo mwaka huu nataka uwe mwaka wa matatizo mengi ambayo nitayatatua ndani ya muda mfupi yaan nafanya mambo makubwa yasiyowezekana kufanywa na watu wengi, wapo wanaosema tunaishi mara moja ila mimi nakataa nakwambiaje tunaishi mara mbili ya kwanza unapewa warning ⚠️ unatoa sababu kwanini upewe second chance ya kuishi ukisema ikiwa na mashiko unapewa second chance unaishi ila mara ya pili ukienda ndio kwa kheri hurudi tena, km utani vile usifikiri natania au nakuongopea jaribu kwenda
 
Wakulungwa , huu mwaka 2025 Mimi nimeamua kula Bata na kufurahisha nafsi yangu, Yani ni mwaka sio wa kujitesa tena .

Haya maswala ya kutafuta pesa na Bado hauli Bata nimeona sio kweli..maisha yenyewe mafupi haya , time yoyote unaweza ukakata moto na pesa zako
usifaidi wa kafaidi wengine ambao hawana hata uchungu nazo

Maswala ya kuwa kutajiri, sio lazima wote tuwe matajiri, hata Moo akiwa tajiri inatosha .. Si fosi utajiri sahivi, kama uje , uje tu , usipo kuja nayo fresh , maana sitazikwa hata na Infinix yangu 🤣

2024 nimetafuta sana pesa nimetafuta sana pesa , lakini sioni Cha maana Nilicho Fanya , zaidi ya kulipia ma bills na kusaidia ndugu na kulipa Madeni.. Yani ni usenge tu
Watakusaidia siku moja
 
Back
Top Bottom