Huu mwaka umeanza na mazonge zonge mengi. Mtu mpaka nawaza Utaishaje. Mapema tu naanza umizwa roho

Gobole Lenye Risasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,519
Reaction score
23,693
Mwaka umeanza na mazonge mengi sana. Hapa tayari naona kama nimechunwa ngozi na kuanikwa juani nikauke. Yaani binadamu unawaamini wanakuja kukutenda vibaya namna hii? Nimelia sana toka asubuhi.

Hili group langu nlilianzisha toka mwaka 2012 hebu fikiria lina umri wa mtu kabisa anayejielewa. Nikaadd watu wawe maadmin wanisaidie tuendelee pashana habari.

Wamekula njama behind my back na kuni remove. Nimesikitika hata aliyewah kuwa demu wangu nikampa zawadi ya uadmin naye amehusika. Binadamu binadamu...kwa nini mnakuwa na roho zenye mafindu findu hivi?

Mtu nlikuwa nalala naye kumbe nyoka? Nimehangaika mimi kukusanya watu 200+ leo nanyang'anywa kizembe watu wakiwa wamekaa tu sijui makwao au ofisini kwao wananitoa?

Nimeumia sana. Na hili sitoliacha lipite hivi hivi .sikuwa dhani ntaenda kwa mganga ila this time siwaachi hawa walionifanyia mapinduzi.siwaachi.jasho la mtu halinywewi hiv hiv tu.

Kama mwaka kuharibika tutaharibiana wote. Kweli bora umfadhili mbuzi utampika ukiunga unaweza pata mchuzi.binadamu wana maudhi,mateso,unyama na manyanyaso. Siwaachi hawa jamaa. Hadi huyu demu naye nahakikisha anaoteshwa busha na ukoma. Tuone kama watachat. Wote wanapigwa ukoma vidole vya mikononi. Group watakuwa wanaliona tu hivi
 
Vijana wa chadema mnalilia group la whatsApp

Mi kwa maono yangu naona shida unayo wewe. Maana kama sivyo ungeachana naye tu ukasoma thread za maana.sometimes watanzania tunakosea sana kwa kutokuwa na elimu. Nchi huru mwache jamaa awaze anavyotaka. Kama hawazii ada au anawazia wewe hiyo inakusumbuaje? Mambo ya ngoswe mwachie ngoswe 😁
 
...mbona hutuambii unayoona no sababu iliwanya wakuonyeshe mlango was kutokea??
Tuambie...ili tuamue wenyewe walikuwa na makosa ama LA ya kukutimua ofisi yako?
Weka mambo hadharani, mmekosana mini?
 
Back
Top Bottom