Huu mwaka umeanza na mazonge zonge mengi. Mtu mpaka nawaza Utaishaje. Mapema tu naanza umizwa roho

Huu mwaka umeanza na mazonge zonge mengi. Mtu mpaka nawaza Utaishaje. Mapema tu naanza umizwa roho

Huu uchumi wa kati mbona umeongeza huzuni badala ya furaha?
 
Hadi Leo hii unalialia kuhusiana na group za WhatsApp.....Akili yako Ina mapungufu
 
Unapima tu akili za watu saizi unasoma tu coments unachekaaa...

Wengine bila kujua wanamind kabisa
 
Pore sana dugu yagu. Yataisa yu.binadamauasio wemakabisa.usowaaamoni. mimi menyewe najuta kumuamini demu
 
Mkuu tatizo ninaloona hapo demu kakupiga kibuti na bado akaendelea kuchat na jamaa yake mpya kwenye hilo group lako. Kilichofutia, ukaanza kuwaporomoshea matusi na kujikuta ukivunja sheria za group hivyo wakaamua kukuondoa, jikaze kisabuni tu hakuna namna...
 
Kama mwaka kuharibika tutaharibiana wote. Kweli bora umfadhili mbuzi utampika ukiunga unaweza pata mchuzi.binadamu wana maudhi,mateso,unyama na manyanyaso. Siwaachi hawa jamaa. Hadi huyu demu naye nahakikisha anaoteshwa busha na ukoma. Tuone kama watachat. Wote wanapigwa ukoma vidole vya mikononi. Group watakuwa wanaliona tu hivi
Usikubali yani afe kipa afe beki usikubali lazima wakupe uadimin wako. Huwezi kuanzisha kiwanda cha kuchat halafu wafanyakazi wakichukue kirahisi rahisi hivyo... komaa komaa
 
"Wote wanapigwa ukoma vidole vya mikononi. Group watakuwa wanaliona tu hivi"

Nmecheka sana. Ila mkuu pole
 
Jf inaenda wapi jamani yaani jitu lizima linajaza server kuandika nonsense?
 
Mkuu mbona sijaelewa kuhusu hilo group
Ulivyounda group lengo lako lilikuwa nini??
Group linahusu chama lenu la nini?
Ukiwa out ya group utakosa nini?
Je kwani huwezi kutengeneza lingine tena from scratch.
Faida kubwa kabisa ya group lenu ni nini?
 
Back
Top Bottom