Huu mwezi mbona kama mgumu! Hivi mnatumia mbinu gani kuishi unapopita kwenye magumu na kutoka mshindi

Huu mwezi mbona kama mgumu! Hivi mnatumia mbinu gani kuishi unapopita kwenye magumu na kutoka mshindi

mr pipa

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2021
Posts
3,074
Reaction score
6,472
Hapa nilipo hata tsh buku 10 imenipiga chenga mwenye nyumba anadai kodi

Watoto wanahitaji ada kwenda shule

Ndugu wanaomba niwapige kampani wazazi nao wanataka pesa

Nimeenda kopa kwa jamaa nao wanalia hali ni tete

Na kitaa mishe mingi zimesimaa wakuu hivi mnatumia mbinu gani kuishi za kijemedali

Maana kichwa kinauma kwa mawazo
 
Unajitoa ufahamu
FB_IMG_1723197024149.jpg
 
inaitwa njaanuary , kaza tu braza yatapita , muda kama huu usiendekeze yeyote anaomba hela mpaka mambo yatulie
 
Kuna muda unajitoa akili tu, na kuchukulia mambo kawaida tu, nothing is permanent.
Wakat naanza maisha nilikuwa nikiwa na magumu kuna maumivu fulan nilkuwa nayahisi mpaka kwenye moyo,lakin baada ya kuzoea naishi kibishi na ninanenepa tu f
 
Back
Top Bottom