mr pipa
JF-Expert Member
- Jul 26, 2021
- 3,074
- 6,472
Hapa nilipo hata tsh buku 10 imenipiga chenga mwenye nyumba anadai kodi
Watoto wanahitaji ada kwenda shule
Ndugu wanaomba niwapige kampani wazazi nao wanataka pesa
Nimeenda kopa kwa jamaa nao wanalia hali ni tete
Na kitaa mishe mingi zimesimaa wakuu hivi mnatumia mbinu gani kuishi za kijemedali
Maana kichwa kinauma kwa mawazo