Mkuu kwa wafugaji hatutumii kota kwani kwa imani yetu ni kwamba ukitumia kota ng'ombe wanakufa
LOL me mwenyewe nimecomment hivi hivi kabla sijaona comment yakoAngalia wasijekuwa wanaija, maana hao popo kwa utapeli hawajambo
Asante mkuu kwa kukazia, kwakuongezea Ebora imeattack eneo tu na inasambaa na kujidhihirisha muda huo huo but COnv umeenea dunia nzima na kama ulivyomalizia ndo upo na utaendelea kuwepo dunia nzima, it's just a matter of time kabla hujagonga milango Tanzania.Ebola sio deadly Sana ukilinganisha na Corona kwa sababu ebola yenyewe haijifichi ikiingia inakuburuluza ndani ya muda mfupi saana.
Corona yenyewe unakaa nayo Hadi mwezi mzima unaambukiza watu hata 100 ndio inaanza kukupelekesha, hivyo Corona inaua wengi saana tofauti na Ebola yenyewe Ni epidemic disease inalipuka na kuzimika tofauti na Corona inaonekana sio ya kuwaka na kuzima hii tunayo na kukatika sio leo. It's a pandemic disease not epidemic.
And it's here to stay.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha aone unamtenga ila ajue si kwa ubaya bali kwa kuogopa kutangulia kwa Muumba kwa kujitakia.Halafu ni chauffeur sasa akili imeniambia kabeba Mchina toka airport
Acha nimkwepe tu ingawa anajua namkimbia
Sio utani Mkuu inatisha
Sent from my iPhone using Tapatalk
AiseeIla wawe makini
My name is lie jueng and I live in Wahin Province, north of Guangzhou. I am looking for a friend from East Africa and am going to see my WhatsApp number on +8624597088
Mkuu naongea kwasababu najua na ukichaa wangu kama ulivyosema. Ebora unauwa haraka na kusambaa eneo moja alafu unatokomea which is quite different to CONV bro.
[emoji871][emoji871][emoji871]Nimemdukua huyu hapa, vijana kazi kwenu, ila lugha hapo chini sijajua maana yake mtatafasiri wenyewe.
我的名字叫lie jueng,住在廣州北面的瓦欣省,我正在尋找一個來自東部非洲的朋友,準備在+8624597088上看到我的WhatsApp編號。
View attachment 1372730
Endelea kumu intertain akutumie faranga 😂😂Kuna mmoja hapa ananiambia ooh, bla blaa Tanzania it's beautiful nataka kuja mkoa...... Unaweza ukanipa kampani... Hadi sasa najitafakari nimjibube... Mabaharia wenzangu nipeni ushauri..
Sent using Jamii Forums mobile app
NakuonaaaHivi kati ya Ebola na corona ni nani mkali zaidi?
UtakufaaaNikimpata huyu najilipua! View attachment 1372873
Hilo naliunga mkono! Tangu Adamu mpaka sasa ukoo mzima nyie tuu ndo maana mnalogana na umasikini usioisha! Changanya damu na wazungu au wachina au waarabu akili ziwakae sawa!Acha watu wabadili ukoo bwashee,ukoo mzima ma black acha kidogo tuchanganye colour mzee baba,
Sent using Jamii Forums mobile app
Wuhan ndio kilipotokea kirusi chenyewe.Ila wawe makini
My name is lie jueng and I live in Wahin Province, north of Guangzhou. I am looking for a friend from East Africa and am going to see my WhatsApp number on +8624597088
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wuhan ndio kilipotokea kirusi chenyewe.
Kubabeki
Naona uko huku kuzurura kidogo baadae unarudi home!Nakuonaaa
Wacha aone unamtenga ila ajue si kwa ubaya bali kwa kuogopa kutangulia kwa Muumba kwa kujitakia.
Inachukua siku 14-16 kujidhihilisha sasa jiangalie, isijekuwa tayari hahaha(just kidding? [emoji23]
😁Kwani china hakuna madwimbi ya maji?Tokea lini mchina akawa na chura
Ndugu yangu usisahau kusambaa sana kwa Cov19 ni kutokana na mwingiliano mkubwa uliopo kati ya China na mataifa mengine "makubwa" ya dunia, Iran, Italy, S Korea na , tofauti sana na Ebola ambapo mara nyingi zote ni huku Africa na tena sehemu ambapo hukuna mwingiliano mkubwa na mataifa mengine,Asante mkuu kwa kukazia, kwakuongezea Ebora imeattack eneo tu na inasambaa na kujidhihirisha muda huo huo but COnv umeenea dunia nzima na kama ulivyomalizia ndo upo na utaendelea kuwepo dunia nzima, it's just a matter of time kabla hujagonga milango Tanzania.
Sasa ndugu yangu tchaot nadhani umeelewa na kuona tofauti ya Ebora na hii daily and contagious disease goes by the name CONV