Huu ndio mda muafaka kuoa wachinaa

Huu ndio mda muafaka kuoa wachinaa

Vipi tako nalo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwa wafugaji hatutumii kota kwani kwa imani yetu ni kwamba ukitumia kota ng'ombe wanakufa
IMG-20200229-WA0012.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza kuta ni matapeli wa Nigeria, sababu hawahishiwi mbinu wale
 
Ebola sio deadly Sana ukilinganisha na Corona kwa sababu ebola yenyewe haijifichi ikiingia inakuburuluza ndani ya muda mfupi saana.

Corona yenyewe unakaa nayo Hadi mwezi mzima unaambukiza watu hata 100 ndio inaanza kukupelekesha, hivyo Corona inaua wengi saana tofauti na Ebola yenyewe Ni epidemic disease inalipuka na kuzimika tofauti na Corona inaonekana sio ya kuwaka na kuzima hii tunayo na kukatika sio leo. It's a pandemic disease not epidemic.

And it's here to stay.

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu kwa kukazia, kwakuongezea Ebora imeattack eneo tu na inasambaa na kujidhihirisha muda huo huo but COnv umeenea dunia nzima na kama ulivyomalizia ndo upo na utaendelea kuwepo dunia nzima, it's just a matter of time kabla hujagonga milango Tanzania.
Sasa ndugu yangu tchaot nadhani umeelewa na kuona tofauti ya Ebora na hii daily and contagious disease goes by the name CONV
 
Halafu ni chauffeur sasa akili imeniambia kabeba Mchina toka airport
Acha nimkwepe tu ingawa anajua namkimbia
Sio utani Mkuu inatisha


Sent from my iPhone using Tapatalk
Wacha aone unamtenga ila ajue si kwa ubaya bali kwa kuogopa kutangulia kwa Muumba kwa kujitakia.
Inachukua siku 14-16 kujidhihilisha sasa jiangalie, isijekuwa tayari hahaha(just kidding? 😂
 
una kichaa wewe , unalinganisha ebola na corona ??

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naongea kwasababu najua na ukichaa wangu kama ulivyosema. Ebora unauwa haraka na kusambaa eneo moja alafu unatokomea which is quite different to CONV bro.
Naomba urudi darasani kidogo ujikumbushe any kind of Pandemic disease which COnV is among of them. Huu unaambukiza watu wengi kwa haraka bila kujijua na siku ukija kujitokeza baada ya siku 14 tangia upate maambukizi mnajikuta eneo lote tayari mnao na mnaanza kudondoka kama kuku huku mnangaliana. Kingine ni ugonjwa unaosambaa dunia nzima na si eneo moja kama Ebora: Mpaka hapo unaweza kuona sasa upi ni hatari zaidi.
Usiconclude kwa video zilizokuwa zimeruhusiwa kusambazwa na serikali ya China, ungekuwa na ndugu au rafiki na kukutumia live streaming ndipo ungeujua vizuri huu ugonjwa. Chamsingi tumuombe Mungu tu uchelewe kuja hapa TZ vinginevyo, nasema tena vinginevyo..... Mungu ndiye anayejua kwa jinsi tunavyobanana kwenye mwendo kasi, masokoni kama Kariakoo, mbanano wa nyumba zetu huku zikiwa hazina air ventilators za kutosha hahaha
 
Nimemdukua huyu hapa, vijana kazi kwenu, ila lugha hapo chini sijajua maana yake mtatafasiri wenyewe.


我的名字叫lie jueng,住在廣州北面的瓦欣省,我正在尋找一個來自東部非洲的朋友,準備在+8624597088上看到我的WhatsApp編號。
View attachment 1372730
[emoji871][emoji871][emoji871]
20200301_175326.jpeg
 
Wacha aone unamtenga ila ajue si kwa ubaya bali kwa kuogopa kutangulia kwa Muumba kwa kujitakia.
Inachukua siku 14-16 kujidhihilisha sasa jiangalie, isijekuwa tayari hahaha(just kidding? [emoji23]

Daaaa yaani we acha tu
Hakuna jinsi sasa ni kusubiri matokeo
Akianza mbele na mimi nijiandae tu [emoji23]


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Asante mkuu kwa kukazia, kwakuongezea Ebora imeattack eneo tu na inasambaa na kujidhihirisha muda huo huo but COnv umeenea dunia nzima na kama ulivyomalizia ndo upo na utaendelea kuwepo dunia nzima, it's just a matter of time kabla hujagonga milango Tanzania.
Sasa ndugu yangu tchaot nadhani umeelewa na kuona tofauti ya Ebora na hii daily and contagious disease goes by the name CONV
Ndugu yangu usisahau kusambaa sana kwa Cov19 ni kutokana na mwingiliano mkubwa uliopo kati ya China na mataifa mengine "makubwa" ya dunia, Iran, Italy, S Korea na , tofauti sana na Ebola ambapo mara nyingi zote ni huku Africa na tena sehemu ambapo hukuna mwingiliano mkubwa na mataifa mengine,

Msisahau mataifa ya Magharibi hutumia nguvu kubwa hasa ebola isisambae maana ni kifo cha haraka zaidi.
Pia naona kama Cov19 itapata tiba madhubuti na chanjo kamili muda mfupi ujao

Nakiri Cov19 ni hatari na wasambaa hasa ila nasitita kukubali kuwa ni hatari zaidi ya Ebola kwa kuuwa haraka kama vikisambaa kwa kasi sawa,
Umenifanya nikumbuke tu na Kimeta,Anthrax pale pale Bacillus Anthracis
 
Back
Top Bottom