Huu ndio mda muafaka kuoa wachinaa

Huu ndio mda muafaka kuoa wachinaa

Sijawahi ona mchina mzuri wa kutisha.Wanatumwili tudogo,sura pana,wafupi,pasi na malienge.Watoto chotara wa kichina na waafrika huwa hata sio wazuri kama Afrika +Arabs,African +white, African+ Indian.Acheni kushoboka na vitu vibovu hata hela hawana kama mademu was kizungu au kiarabu.Bora ukaoe kwa bakhresa utapata chochote sio wachina pumbafu tu!!
Wachina na waafrika wana nyuso pana na pua pana sidhani kama mixture yao itatoka nzuri zaidi ya kituko. Nyuso pana sana huwa hazina mvuto sana kama zile za uso wa kisu na pua ndio zimetuharibia kabisa
 
Wuhan ndio kilipotokea kirusi chenyewe.
Kubabeki
Hakina madhara mkuu mafua tu hayo 😂
Walisha zowea kutengeneza propaganda kuwa magonjwa mengi huanzia Africa adi sasa corona hakuna mtu mweusi kutoka Bara Giza aliyekufa kwa kirusi hicho!
 
Ngoja nikagoogle combination ya wakorea na wabongo nione kinazaliwa nini

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ndio combination ya africa na korea kitu kinatoa cha ukweli tu kumbe ngoja nijitoseage
Screenshot_20200301-192642_Google.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaaa yaani we acha tu
Hakuna jinsi sasa ni kusubiri matokeo
Akianza mbele na mimi nijiandae tu [emoji23]
Na hili ya tiba hapa nchini waifahamu vizuri, we anza kunywa maji yaliyochanganyika na ndimu au after every 15 minutes make sure you have 1/2 litres of drinking water.
Tutapeana mrejesho hapa hapa ndugu yangu😀😀

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Ngoja nikagoogle combination ya wakorea na wabongo nione kinazaliwa nini

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwa upande wa Asia mademu wakutoka nao ni Koreans na Philippines kidoogo, ila Koreans ni moto wa kuotea mbali, ila hawana Chris, kwa upande wa sura hutaisha hamu ya kumwangalia na muda wote kumwambia "I love you baby"🙂🙂🙂
Wachina haha kwanza wachafu, naongea by experience (Sio ya kugegeda bali kuwa karibu nao)
 
Nimemdukua huyu hapa, vijana kazi kwenu, ila lugha hapo chini sijajua maana yake mtatafasiri wenyewe.


我的名字叫lie jueng,住在廣州北面的瓦欣省,我正在尋找一個來自東部非洲的朋友,準備在+8624597088上看到我的WhatsApp編號。
View attachment 1372730
My name is lie jueng and I live in Wahin Province, north of Guangzhou. I am looking for a friend from East Africa and am going to see my WhatsApp number on +8624597088
 

Sio mpenzi wa maji ila itabidi nianze sasa na ndimu na machungwa nimepitia na yeye nampeleka
Ntarudi tuombeane tu


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Back
Top Bottom