Huu ndio Mjengo wa Msanii SHILOLE..!! Na Biashara ya madini ya Fid Q

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Wakati ambapo Shilole anaendelea kumuomba Mungu amalizie mjengo wake uliopo Kimara jijini Dar es Salaam, Fid Q anaonesha kuzungusha mkwanja alionao kwenye biashara ya madini.
Shilole amepost Instagram picha ya nyumba yake iliyopo kwenye hatua ya mwisho kukamilika na kuandika: Mungu nisaidie nimalizie hii kitu ili watoto wangu wasije kupata tabu.”


Naye Fid Q amepost picha inayoonesha madini ya ruby na kuandika: #RubySozite #NewHustle roll a phat 1 fi ya Nig..!!!”
 

Tutofautishe katika ya mineral stones na germ stones, hilo zigo hapo lingekuwa Tanzanite, dhahabu au Almasi ....!!!!!!!
 
Hongera Shilole mwaya maendeleo sio mpaka uwe na ghorofa ndio usifiwe,Allah akujaalie umalizie uachane na upangajii
 
Mbona kinyumba cha kawaida sana hcho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…