Huu ndio Mjengo wa Msanii SHILOLE..!! Na Biashara ya madini ya Fid Q

Huu ndio Mjengo wa Msanii SHILOLE..!! Na Biashara ya madini ya Fid Q

Naona ngosha wasukuma wenzio wamekupeleka msumbiji kwenye ruby maana huko ndo wamejaa kama ile mbaaya na wana hela chafu wasukuma ni namba nyingine aisee
 
Tutofautishe katika ya mineral stones na germ stones, hilo zigo hapo lingekuwa Tanzanite, dhahabu au Almasi ....!!!!!!!
Kiongozi naomba uangalie bei ya ruby ya sasa kisha ufsnanishe na diamond tanzanite then utupatie difference iliyopo
 
Hao ndio wanatakiwa kuwa arraigned Siyo wachungaji
 
Kiongozi naomba uangalie bei ya ruby ya sasa kisha ufsnanishe na diamond tanzanite then utupatie difference iliyopo
Ruby iko juu kushinda madini yote kama dhahabu, alimas lakin sijajua upande wa tanzanite
 
Wanajiwahi mapema wasije kuitwa Central "one summer Friday morning" siku mambo yao yakishakuwa bien
 
Kwa kweli sionagi wanachokiimba Shilole na yule aliyeimba majanga(jina lake limenitoka)
Kwa Shilole anachoimba kinamchangia kama asilimia tano tu ya kiki zake, mengine yoote yanatokana na madudu anayofanya jukwaani na skendo za kubadilisha na kuvi bully viboyfriend vyake.
 
Halafu mbona kama hiyo nyumba inafanana sana na nyumba moja ya mchaga mmoja anaishi riverside karibu kabisa na landmark hotel? Alikuwa anaiuza iko jirani kabisa na Nyumbani kwa Omari Mkali
Duh!
 
Back
Top Bottom