muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,301
- 13,858
Wakopaji wengi...Kama ndi ivo basi biashara yake ya kuuza sukari haimlipi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakopaji wengi...Kama ndi ivo basi biashara yake ya kuuza sukari haimlipi
Mabata madogo madogo yanaogelea yanaogelea..........Mi shilole siijui hata nyimbo yake
Npo ok mkuu nlikua chunya kule nacheki ka naeza invest kwe mashine ya kuchenjulia vipi nipe kaushauri kdg kiongoziChief heshima yako...mambo vp
Ova
Uko saza nini boss wngu...unapiga dhahabu nnNpo ok mkuu nlikua chunya kule nacheki ka naeza invest kwe mashine ya kuchenjulia vipi nipe kaushauri kdg kiongozi
Hii inatenganisha Dhahabu na Carbon kaka,Uko saza nini boss wngu...unapiga dhahabu nn
Hiyo mashine Si inatenganisha dhahabu na nchanga au!makini niambie kaanza hyo mashine yako inafanyaje kazi mkuu
Ova
Kaka Uko vizuri aise...hyo mashine Si mchezo mbna utapiga sana bingoHii inatenganisha Dhahabu na Carbon kaka,
Ni ile inayeyusha au kuchemsha Carbon yenye Dhahabu kisha Dhahabu inadakwa na Steelwire na Carbon inakaa pembeni, halafu Steel wire ikiyeyushwa nayo kwa gesi inabaki Dhahabu (Hii mashine inaitwa ELUSION)
Ina ukubwa gani hyo mashineHii inatenganisha Dhahabu na Carbon kaka,
Ni ile inayeyusha au kuchemsha Carbon yenye Dhahabu kisha Dhahabu inadakwa na Steelwire na Carbon inakaa pembeni, halafu Steel wire ikiyeyushwa nayo kwa gesi inabaki Dhahabu (Hii mashine inaitwa ELUSION)
Kwani huyo uchebe si amemkuta na hizo mali,shishi food kaikuta,nyumba kaikuta. Labda watagawana walivyovuna pamoja.Divorce itampa Uchebe nusu ya mali zote. Akili Ni nywele
"Si ndio haki sawa mnayo ililia"Dhuuuuuu Yan mali ya shilole agawane
Na huyo mpaka poda kinyagarika
Aiseee swez kubali kabsa