Nambe
JF-Expert Member
- Jan 18, 2011
- 1,451
- 533
Mpe hongera jaman hiyo nyumba ikiisha ikapakwa rangi ni nzuri tu mbona,duu mpe basi yako ambayo sio ya kawaidaa
Umeona eeeh.......
Wamwache dada wa watu kajitahidi.
Amejikuna pale mkono wake unapofikia.........