titimunda
JF-Expert Member
- Nov 26, 2014
- 7,571
- 9,789
Kipindi bado mpya mpya kuna mtoto wa lowasa alikuwa amejiweka.enzi hizo jina bado halijawa kubwa🙁🙁🙁 dont tell na shishi trump anauzaga kipochi manyoya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipindi bado mpya mpya kuna mtoto wa lowasa alikuwa amejiweka.enzi hizo jina bado halijawa kubwa🙁🙁🙁 dont tell na shishi trump anauzaga kipochi manyoya?
Anaimba mauno anauza nyetiKwa kweli sionagi wanachokiimba Shilole na yule aliyeimba majanga(jina lake limenitoka)
Lazima wakalime kwa sasa. Pesa chafu hamna tena.Anaimba mauno anauza nyeti
ikamilike wapi anatuzuga co yakePost ya 2013 natumai nyumba imekamilika....
Hahahaaa! Siku hizi kawa Binti wa Trumpikamilike wapi anatuzuga co yake
Kiongozi naomba uangalie bei ya ruby ya sasa kisha ufsnanishe na diamond tanzanite then utupatie difference iliyopoTutofautishe katika ya mineral stones na germ stones, hilo zigo hapo lingekuwa Tanzanite, dhahabu au Almasi ....!!!!!!!
Ruby iko juu kushinda madini yote kama dhahabu, alimas lakin sijajua upande wa tanzaniteKiongozi naomba uangalie bei ya ruby ya sasa kisha ufsnanishe na diamond tanzanite then utupatie difference iliyopo
Kwa Shilole anachoimba kinamchangia kama asilimia tano tu ya kiki zake, mengine yoote yanatokana na madudu anayofanya jukwaani na skendo za kubadilisha na kuvi bully viboyfriend vyake.Kwa kweli sionagi wanachokiimba Shilole na yule aliyeimba majanga(jina lake limenitoka)
Duh!Halafu mbona kama hiyo nyumba inafanana sana na nyumba moja ya mchaga mmoja anaishi riverside karibu kabisa na landmark hotel? Alikuwa anaiuza iko jirani kabisa na Nyumbani kwa Omari Mkali
Wabongo bwana !! Utamjuaje shilole bila kujua nyimbo zake maana yeye sio dada yako au ndugu yakoMi shilole siijui hata nyimbo yake