Huu ndio mjengo wa Vicky Kamata

Hivi anaishi maeneo gani huyu demu
 
Last edited by a moderator:
Na huu ndo mswimming pool uliomo kwenye huo mjengo matratra wa muheshimiwa huyo
 

Attachments

  • 1402915099122.jpg
    45.2 KB · Views: 2,013
Uwiiii najinyonga mieee.... plz usisahau kumwambia akupe contact ya muheshimiwa mwenzie unirushie...

Komaa nae mpaka kieleweke amu hapana chezeiya kuweka heshima town

Usijali second nitahakikisha na wewe unakamatia mmoja.
 
Last edited by a moderator:
Mbona nyumba ya kawaida sana? SIjaona cha kushangaa hapo.
 
Last edited by a moderator:
Mmh binamu huyo, sasa ikawaje baada ya kukaa siti moj? Ulichukukua namba au?, tuliza munkar utupe umbea vzur binamu

Binamu huu umbea haukuhusu kabisaaaa... maana nimeona we hupendi maendeleo yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…