Huu ndio mjengo wa Vicky Kamata

Huu ndio mjengo wa Vicky Kamata

Mmh binamu huyo, sasa ikawaje baada ya kukaa siti moj? Ulichukukua namba au?, tuliza munkar utupe umbea vzur binamu

Binamu wala sikuomba namba nlimkuta katangulia mie nlichelewa keshakaa kwa siti nikamsalimia shikamoo akaitikia baada ya hapo kila mtu kimya kimya ha ha ha ha ha binamu kama alikuwa anaisoma roho yangu nikachukua magazine zilizokuwemo nikaanza kusoma mie yeye kimya baadae akaniuliza unaenda wapi nikamwambia akaniuliza kufanya nini nikamjibu yaani akawa anauliza tu kimtegomtego mi nikamjibu mara jina mara ninimara business card mara no he he he alijua nimempa fake no ile kushuka tu naona kawasha simu akanibipu.
Akaniambia nitakupigia.
Sasa whatsappp kwa sana na msg he he he
 
Iv Heaven on Earth unafanyagaje picha binamu??, naona wat wanakuwawa unawasaidia ku zoom wakt mm hat sion unacho zoom, ebu nifungue na mie

Sema wewe binam picha zote size moja yako na ya heaven.
Ngoja nikung'ate sikio inasemekana Heaven on Earth ni bint mmoja matata humu ndani chuma cha ukweli so vijana s
Fagilia kwa sana si wajua tena binamu.
 
Last edited by a moderator:
Binamu wala sikuomba namba nlimkuta katangulia mie nlichelewa keshakaa kwa siti nikamsalimia shikamoo akaitikia baada ya hapo kila mtu kimya kimya ha ha ha ha ha binamu kama alikuwa anaisoma roho yangu nikachukua magazine zilizokuwemo nikaanza kusoma mie yeye kimya baadae akaniuliza unaenda wapi nikamwambia akaniuliza kufanya nini nikamjibu yaani akawa anauliza tu kimtegomtego mi nikamjibu mara jina mara ninimara business card mara no he he he alijua nimempa fake no ile kushuka tu naona kawasha simu akanibipu.
Akaniambia nitakupigia.
Sasa whatsappp kwa sana na msg he he he

Hahahahahaaaa...utumie fursa vizuri sasa sio urukeruke....
 
Sema wewe binam picha zote size moja yako na ya heaven.
Ngoja nikung'ate sikio inasemekana Heaven on Earth ni bint mmoja matata humu ndani chuma cha ukweli so vijana s
Fagilia kwa sana si wajua tena binamu.

Halafu Heaven on Earth Una kesi na mimi..jisalimishe plz
 
Last edited by a moderator:
Binamu wala sikuomba namba nlimkuta katangulia mie nlichelewa keshakaa kwa siti nikamsalimia shikamoo akaitikia baada ya hapo kila mtu kimya kimya ha ha ha ha ha binamu kama alikuwa anaisoma roho yangu nikachukua magazine zilizokuwemo nikaanza kusoma mie yeye kimya baadae akaniuliza unaenda wapi nikamwambia akaniuliza kufanya nini nikamjibu yaani akawa anauliza tu kimtegomtego mi nikamjibu mara jina mara ninimara business card mara no he he he alijua nimempa fake no ile kushuka tu naona kawasha simu akanibipu.
Akaniambia nitakupigia.
Sasa whatsappp kwa sana na msg he he he

Apo kinachofuata ni kuroga kwanzia utosin had unyayoni, hayo mambo ya kutumiana msg whatsapp mwache atumiane na mke wake, we kaz moja tu binamu
 
Binamu wala sikuomba namba nlimkuta katangulia mie nlichelewa keshakaa kwa siti nikamsalimia shikamoo akaitikia baada ya hapo kila mtu kimya kimya ha ha ha ha ha binamu kama alikuwa anaisoma roho yangu nikachukua magazine zilizokuwemo nikaanza kusoma mie yeye kimya baadae akaniuliza unaenda wapi nikamwambia akaniuliza kufanya nini nikamjibu yaani akawa anauliza tu kimtegomtego mi nikamjibu mara jina mara ninimara business card mara no he he he alijua nimempa fake no ile kushuka tu naona kawasha simu akanibipu.
Akaniambia nitakupigia.
Sasa whatsappp kwa sana na msg he he he

he heiyaaaa kama nakuona vile lol...........
chezea muheshimiwa first class.........
 
Back
Top Bottom