Huu ndio mjengo wa Vicky Kamata

Huu ndio mjengo wa Vicky Kamata

Shosti kuna mambo ya kurogwa unayaweza.
Mie warumi kabla sijaonana nae itabidi niende tanga nikamshughulikie haswa atie akili kudadadeki.

ndo mpango,we unadhan bila kutengenezwa utapat kitu, labda uambulie huawei 300 ya kuingilia instagram
 
Last edited by a moderator:

Hahahaahaaa.....sio shopping Dubai mkoko wa maana na nyumba mbezi beach?
 
Hayo mambo ya shopping hong kong sijui ndo apo sasa pa kujipanga kwa bwana mkubwa wa mabopande sasa

Tatizo lako ww hunitakii mema kabisa...unasema tuu kutekeleza zero.. mi nataka niende mabwepande kesho tuma direction..
 
Sasa wajameni mnategemea second first lady awe na mjengo mbaya?? Chezea K ya kisukuma wewe jumlisha na kupuliza ile kitu yao ya kushikilia waume. Naona Charles atakuwa na zindiko kali ndumba iligoma.
 
Ukifika tu mabwepande, ulizia mzee kifimbo ni maarufu sana mitaa ile yan akikufanyia mambo we unaagiza tu ninunulie gari ,mara natak kwenda Dubai , yan ni wewe tu, maana mambo ya kukatikiana sana kitandan sijui umnogeshe ndo akununulie gari hayo mambo ukoo chalinze siku iz, mjini kila mtu anaroga
 
Hahahahaaa....so mambo yote kupuliza tu siku hizi?
 
Ukifika tu mabwepande, ulizia mzee kifimbo ni maarufu sana mitaa ile yan akikufanyia mambo we unaagiza tu ninunulie gari ,mara natak kwenda Dubai , yan ni wewe tu, maana mambo ya kukatikiana sana kitandan sijui umnogeshe ndo akununulie gari hayo mambo ukoo chalinze siku iz, mjini kila mtu anaroga

Bimamu Mzee kifimbo wapo wengi we nitumie namba...nipumzike mauno mie
 
Ntakutumia upumzishe mauno mpaka siku iz umeanza kubinuka hat cmu hujanunuliwa mfyuuu manina, ndo mjifunze kuroga, aliyekwambia mjini msingi kiuno nani??
 
Hako kamrosheni kajenga na viposho tuu au ?Sema mjini mipango minguvu huko kwa bibi mzaa baba.
 
Ntakutumia upumzishe mauno mpaka siku iz umeanza kubinuka hat cmu hujanunuliwa mfyuuu manina, ndo mjifunze kuroga, aliyekwambia mjini msingi kiuno nani??

Yaani binam najitumaa weweee nikipewa nyingi ni ya simu tena mchina low quality...
Kweli mjini chuo kikuu
 
Ukifika tu mabwepande, ulizia mzee kifimbo ni maarufu sana mitaa ile yan akikufanyia mambo we unaagiza tu ninunulie gari ,mara natak kwenda Dubai , yan ni wewe tu, maana mambo ya kukatikiana sana kitandan sijui umnogeshe ndo akununulie gari hayo mambo ukoo chalinze siku iz, mjini kila mtu anaroga

Heheheee, hatari.....ndo maana wengine hatuhongwii?
Sasa ukikuta huyo unayetaka kumroga nae kigagula utafanyaje?
 
Eeeenwe acha tu nasikia ili uingie mjengoni
Azima ulazwe kwenye mti wao mkubwa dodoma.
Asa miehapo inabidi warumi atusaidie maaana hawa ni vigagula balaa.
 
Last edited by a moderator:
Aiseee mziki na ubunge unalipa sana ngoja na mie nianze na single.
 
Back
Top Bottom