Huu ndio mjengo wa Vicky Kamata

Huu ndio mjengo wa Vicky Kamata

Apo kinachofuata ni kuroga kwanzia utosin had unyayoni, hayo mambo ya kutumiana msg whatsapp mwache atumiane na mke wake, we kaz moja tu binamu

Binamu kumbe kuna kuroga tena. Mi nikajua huwa wanatoa wakiwa in a sane state! Haya hebu nielekeze kwa mtaalamu nianze maandalizi
 
unafikir wanahonganga bure? Mpaka warogwe wale ooh, kuna mganga kiboro dinda yupo kule mabopande huyi ni nOuma sana
 
Apo kinachofuata ni kuroga kwanzia utosin had unyayoni, hayo mambo ya kutumiana msg whatsapp mwache atumiane na mke wake, we kaz moja tu binamu

Umenchekesha sana wee eti eee inabidi kutoa gundu niogeshewe maji ya mpesa mpesa nimuweke kwenye kichupa afu nikitupe baharini looo.
He he binam umencheksha sana kimbe hawatoagi hivi hivi mpaka uwaroge lol mbona nshanyong'onyea.
 
unafikir wanahonganga bure? Mpaka warogwe wale ooh, kuna mganga kiboro dinda yupo kule mabopande huyi ni nOuma sana

Plz nipe info na contact za huyo mtu PM nimshughulikie huyu jamaa
 
Umenchekesha sana wee eti eee inabidi kutoa gundu niogeshewe maji ya mpesa mpesa nimuweke kwenye kichupa afu nikitupe baharini looo.
He he binam umencheksha sana kimbe hawatoagi hivi hivi mpaka uwaroge lol mbona nshanyong'onyea.

Wala usinyong'onyee, yan unamtengeneza kuhakikisha hatok had amalize kaz yake ya kujenga ghorofa na kununua prado kama la florah mbasha

Na kujitoa akili muhimu, jichore tattoo ya jina lake hata masikion ikiwezekana
 
Hahahahaa...lol kujichora tena!!!
 
Aiseee inabidi na mie nijitahidi niwe muheshimiwa

Shosti kuna mambo ya kurogwa unayaweza.
Mie warumi kabla sijaonana nae itabidi niende tanga nikamshughulikie haswa atie akili kudadadeki.
 
Last edited by a moderator:
Haki ya nani,
kinu kyajenga numba kikawura na makari.
 
Shosti kuna mambo ya kurogwa unayaweza.
Mie warumi kabla sijaonana nae itabidi niende tanga nikamshughulikie haswa atie akili kudadadeki.

Hilo neno shosti mshughulikie mpaka akili imkae vizuri ukimwuliza 1+1aseme 11
 
Last edited by a moderator:
Ngoja nichukue hii ramani nikajaribu na mie kujenga mwenyewe kule shamba kwangu, loooh.
 
Back
Top Bottom