Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona viserengeti vya part time vipo kibao tu....atavivuta tu...
Ulimlegezea jicho? Ulimvalia kimino??He he dua langu limesikika nimempata muheshimiwa first class muzee ya pesa tulikuwa safarini wote tukakaa sit moja.
He he he shosti sijui mambo yatajipa cc warumi Dinazarde Heaven on Earth Kim nana Mrembo by Nature
Hivi unavijua viserengeti wewe?vitambadili dada wa watu kuwa punching bag,viserengeti kazi yao ni kuchuna tu na havikai ni kama vipepeo ,huyo dada anahitaji mtu mwenye staha kwa level aliyo nayo,hawa wavalia suruali chini ya makalio hawawezi,hao wanawezana na akina wema wetu,joka-te na sampuli za aina hiyo
Sijui ndo ile aliyonunua mtaa mzima uko sinza na kuporomosha ghorofa, kama ndo yenyewe basi kazi ipo maana alikuwa na mikwala huyo hatar
Ume sikia hizo habari wapi mkuu kuwa kanunua mtaa mzima Sinza? Yaani mkikaa huko kasulu sijui kibondo ndio mna danganyana hivyo? Nyumba yenyewe hata sehemu ya kuweka garden ya hatari hakuna
Hivi anaishi maeneo gani huyu demu