Huu ndio mjengo wa Vicky Kamata

Huu ndio mjengo wa Vicky Kamata

Ni kweli kabisa bulldog ya kishamba nyumba yenyewe... ndo ile ipo vatican?

Sijui ndo ile aliyonunua mtaa mzima uko sinza na kuporomosha ghorofa, kama ndo yenyewe basi kazi ipo maana alikuwa na mikwala huyo hatar
 
Mbona viserengeti vya part time vipo kibao tu....atavivuta tu...

Hivi unavijua viserengeti wewe?vitambadili dada wa watu kuwa punching bag,viserengeti kazi yao ni kuchuna tu na havikai ni kama vipepeo ,huyo dada anahitaji mtu mwenye staha kwa level aliyo nayo,hawa wavalia suruali chini ya makalio hawawezi,hao wanawezana na akina wema wetu,joka-te na sampuli za aina hiyo
 
Hahahaaa... ubaya hao wenye staha wapo occupied...
 
Sijui ndo ile aliyonunua mtaa mzima uko sinza na kuporomosha ghorofa, kama ndo yenyewe basi kazi ipo maana alikuwa na mikwala huyo hatar

Ume sikia hizo habari wapi mkuu kuwa kanunua mtaa mzima Sinza? Yaani mkikaa huko kasulu sijui kibondo ndio mna danganyana hivyo? Nyumba yenyewe hata sehemu ya kuweka garden ya hatari hakuna
 
Uko kibondo na kasulu wanakaa shangazi zako

Hyo nyumba kwa taarifa yako ni kubwa na ina swimming pool ya kutosha tu, na kuhusu kununua mtaa ni kweli alinunua nyumba kama tatu au nne ivi maeneo ya sinza, sasa sijui ndo hlo ghorofa alililiporomosha au lah na muheshimiwa nilisikia ndo aliyemjengea
 
Back
Top Bottom