Huu ndio mjengo wa Vicky Kamata

Huu ndio mjengo wa Vicky Kamata

naona shoga yako vicky katoa wimbo unaitwa "NAFSI YA MTU KICHAKA" Full vijembe umo

Heehe atakua anawapa walioponda uzuri nyimbo zake nazoo mbayaaaa,mzuri ule wa wanawake na maendeleo
 
Ule ndo alibahatisha, si nilisikia alienda ulaya kufanya collabo na bow wow sijui iliishia wapi, yaan huyu mama ana vituko,anajifanya j-lo na yeye, yan ye na muzik tofauti ,akazane tu kumkatikia muheshimiwa
 
Leo unatoa za USO balaaa....mi nitaongea tu mpaka uniconnect

Ivi mumeo lusungo umemficha wapi?? Maana unavyohangaika na ushirikina ,usije ukawa umemtoa kafala jembe langu lusungo bure ili umpate muheshimiwa
 
Last edited by a moderator:

My hubby yupo Geneva kwenye meeting... nataka nihakikishe allowance zote zinaingia kwangu plus other benefits...mjini hapa sijaletwa na mbio za mwenge
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa...nitautafuta niusikilze

Best mwenzio yamenikuta , si nilienda kwa mganga jana mwenzio , basi bwana kwenda nikamkosa nikakuta kibao cha namba ya simu, nikachukua nikasepa, badae nikapiga bhna , nikamwambia nataka nipate pesa za majini na mimi niweke heshima mjini kama akina clement na muheshimiwa first class, akaniambia hamna shida tuma elfu ishirini kwenye tigo pesa halafu atanifanyia dawa nisihofu, kwa kuwa kwake napajua nikatuma mwenzangu

Sasa badae nikapiga niulize kama kapata, simu haipokekewi, leo nampigia hapatikani, yani akinizingua namroga binamu hakyanani
 
Hee ulimtumia binamu si bora ungenitumia mim nikanywa novida miee ukiambiwa umtoe kafara mtu humu jamii utamtoa nanii
 
Ivi mumeo lusungo umemficha wapi?? Maana unavyohangaika na ushirikina ,usije ukawa umemtoa kafala jembe langu lusungo bure ili umpate muheshimiwa

Itakua binamu ndio maana simuonii
 
Last edited by a moderator:
Ule ndo alibahatisha, si nilisikia alienda ulaya kufanya collabo na bow wow sijui iliishia wapi, yaan huyu mama ana vituko,anajifanya j-lo na yeye, yan ye na muzik tofauti ,akazane tu kumkatikia muheshimiwa

watu mna manenooo
 
Ivi mumeo lusungo umemficha wapi?? Maana unavyohangaika na ushirikina ,usije ukawa umemtoa kafala jembe langu lusungo bure ili umpate muheshimiwa

Binamu nipo TATIANA ananipa mambo hadi napagawa aisee

Nauona mjengo huo but ni too local
 
Last edited by a moderator:
chezeya vitu maarumu wewe?ivi jamani kuuliza si dhambi watoto wa vicky father yao nani?au hawana baba walitokea mbinguni?
 
Back
Top Bottom