Wengine ukiwaona tu wenyewe washajiroga, sasa wataroga nn na wenyew
Mtu akijipendekeza mrogeee, awe na mpunga tu, maana wanawake na nyie mna mwingine mnazid kila kitu mnaroga, jiran kanunua les wigi la million nne we unaenda kumroga uo sasa ni uchawi, unaroga peny mkwanja tu
Washajiroga nuksi mwili mzima wanabaki kuchukuliwa hadi na viaskari vya tena vitoto jf lo lini utajengewa nyumba kama Vicky hahahhhhhaaa binam wape dawa masikinii
Washajiroga nuksi mwili mzima wanabaki kuchukuliwa hadi na viaskari vya tena vitoto jf lo lini utajengewa nyumba kama Vicky hahahhhhhaaa binam wape dawa masikinii
Hivi anaishi maeneo gani huyu demu
Halafu binamu wewe mmh!!
Na huu ndo mswimming pool uliomo kwenye huo mjengo matratra wa muheshimiwa huyo
Mwenzangu wataweza kulala uchi makaburini siku saba??, maana ukitoka apo hlo gar utakalo endesha mtaa mzima utakupigia magoti kumbe mambo ya kulala makaburini, binamu mjini kuna mambo sana, ukipata fursa we rogaaaa maisha yenyew mafupi na usawa unababa
na nyie sio mwenzio kapata bonge la bwana unampeleka kwa mganga mkaliroge mkirud wewe unaenda mroga shoga yako aachike uchukuliwe wewe maana na nyie mnayaweza kw kuroga bila maslah. Yaan kila mtu anaenda kwa sangoma kimpango wake, mambo yakupelekana kwa waganga yashaishiaga uko mwanamarundi
Ndo maana yake, wameturoga sana mpaka wameshindwaa
Nyumba mbona kama inataka kuangukaa
Na hapo mbele sijuhi mlango; sijuhi dirisha; sijuhi frame ya duka?
Unaweza kuwa na pesa lakini huwezi nunua class....
(unaweza mtoa mtu geto lakini huwezi toa maisha ya kigeto kwa mtu)
Jamani siyo hater ila nadhani something is wrong na huu mjengo tena kama ni kweli ume cost bilioni; basi kaibiwa...
Duuuuuuh....
Hapo tu ushaguna,sipatii picha ukiwa unangololoka!!!
Tatiana,Tanya,Natasha,majina Haya bwana huwa wanakuwa nayo wathupu wazuuri na ni common names kulee kwa Putin,hongera!!!