Coco
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 430
- 1,577
Una-miss point.Kwahio mgahawani ndio sitakufa? smh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una-miss point.Kwahio mgahawani ndio sitakufa? smh
Kuna wali, ubwabwa na bokoboko.Kwamba hauja-qualify kuwa wali! duh asante
Coco nakusalimia na ninakusalimia kwa sababu ya hilo jina 'Coco 💕Bachelor kula mgahawani! Hiyo nini unakula, ubwabwa ama wali boko!?
Utakufa siku si zako!!
Mabachela wa enzi zetu hatukutaka ujinga kabisa...Wali na mchuzi...mchuzi mwingi unaliwa wiki nzima kazi kupika wali tu. Sio bachelor eti unapika mboga saba viungo vyote. Hapo mchuzi una kitunguu na nyanya tu!
Karibuni tuleView attachment 1212957
Aaaah huu msosi wa bar fulani hivi...ugali na nyama ya foil(hio chumvi hapo pembeni inawekwa bar tu)Mabachela wa enzi zetu hatukutaka ujinga kabisa...
View attachment 1212973
Hapa ni kabla Sky Eclat hakurudisha nidhamu ya ulaji
Ahsante, nakusalim pia.Coco nakusalimia na ninakusalimia kwa sababu ya hilo jina 'Coco 💕
Safi Bach 😅😅 hii 🌶 umeweka?Wali na mchuzi...mchuzi mwingi unaliwa wiki nzima kazi kupika wali tu. Sio bachelor eti unapika mboga saba viungo vyote. Hapo mchuzi una kitunguu na nyanya tu!
Karibuni tuleView attachment 1212957
Msosi kamiliMboga za majani hakuna bado msosi haujakamilika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inaonekana u msafi, hujachafua jiko kama @mwifwa
Huu ugali unaonekana ni mbichi.Mabachela wa enzi zetu hatukutaka ujinga kabisa...
View attachment 1212973
Hapa ni kabla Sky Eclat hakurudisha nidhamu ya ulaji
Hiyo inabebwa bar ukifika geto unafinyanga ugali tu shughuli inaishaAaaah huu msosi wa bar fulani hivi...ugali na nyama ya foil(hio chumvi hapo pembeni inawekwa bar tu)
Batchelor huyu hataoa kama anaweza kusafisha sufuria zikawa safi hivi na jiko ni spot less.Wali na mchuzi...mchuzi mwingi unaliwa wiki nzima kazi kupika wali tu. Sio bachelor eti unapika mboga saba viungo vyote. Hapo mchuzi una kitunguu na nyanya tu!
Karibuni tuleView attachment 1212957