Huu ndio msosi wa bachela

Huu ndio msosi wa bachela

Wali na mchuzi...mchuzi mwingi unaliwa wiki nzima kazi kupika wali tu. Sio bachelor eti unapika mboga saba viungo vyote. Hapo mchuzi una kitunguu na nyanya tu!

Karibuni tuleView attachment 1212957
Mabachela wa enzi zetu hatukutaka ujinga kabisa...
1569080861978.png

Hapa ni kabla Sky Eclat hakurudisha nidhamu ya ulaji
 
Wali na mchuzi...mchuzi mwingi unaliwa wiki nzima kazi kupika wali tu. Sio bachelor eti unapika mboga saba viungo vyote. Hapo mchuzi una kitunguu na nyanya tu!

Karibuni tuleView attachment 1212957
Safi Bach 😅😅 hii 🌶 umeweka?
Mchuzi unavutia ila ungeweka carrot na hoho ndio ingekuwa bomba zaidi
 
Wali na mchuzi...mchuzi mwingi unaliwa wiki nzima kazi kupika wali tu. Sio bachelor eti unapika mboga saba viungo vyote. Hapo mchuzi una kitunguu na nyanya tu!

Karibuni tuleView attachment 1212957
Batchelor huyu hataoa kama anaweza kusafisha sufuria zikawa safi hivi na jiko ni spot less.

Hawa ndiyo wale ukiwapikia wali anakuambia umeinama ameshazoea kupika wali mwenyewe.
 
Back
Top Bottom