Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh hio mboga nyingi....View attachment 1213357 Kazi Kazi
Hivi nani aligundua hii ya ndizi mbivu na wali, unakata kipande na kijiko unaunganisha na wali pamoja. Ukizoea huwezi kula wali au pilau bila ndizi
Duh hio mboga nyingi....
Mboga pia si ni chakula mkuu?Khaaaa asa we hii ti tuu machi
Mboga pia si ni chakula mkuu?
Sure, broo hyo kitu inanitesa sana yaaniHivi nani aligundua hii ya ndizi mbivu na wali, unakata kipande na kijiko unaunganisha na wali pamoja. Ukizoea huwezi kula wali au pilau bila ndizi
Duuuuhh kwa nini mkuuAlafu kitaalamu, haitakiwi hii desturi ya kipande cha ndizi+tonge
Nashiba mkuu. Mfano umepika nyama au samaki.Sasa mboga tupu c haushibi
Hivi kuna watu wanaoa wanawake hawajui kupika?Dada enu ndo anamalizia kupika pilau...likipakuliwa ntalipost humu
tuliooa aseee tupewe nni sie,nani mwingine kaoa huko
NOTE
Oa mwanamke anaejua kupika,mapenzi huisha ila njaa haiishi kamwe[emoji2]
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Upo unatosha hadi keshokutwa hivi
Mkuu unaishi Mbeya nini??
Dada enu ndo anamalizia kupika pilau...likipakuliwa ntalipost humu
tuliooa aseee tupewe nni sie,nani mwingine kaoa huko
NOTE
Oa mwanamke anaejua kupika,mapenzi huisha ila njaa haiishi kamwe[emoji2]
Hivi kuna watu wanaoa wanawake hawajui kupika?
Ukimaliza kula na mpishi unamla?