Huu ndio msosi wa bachela

Huu ndio msosi wa bachela

6EE24783-F574-4500-8CB2-A16821C5845D.jpg
Kazi Kazi
 
Alafu kitaalamu, haitakiwi hii desturi ya kipande cha ndizi+tonge
Hivi nani aligundua hii ya ndizi mbivu na wali, unakata kipande na kijiko unaunganisha na wali pamoja. Ukizoea huwezi kula wali au pilau bila ndizi
 
Sure, broo hyo kitu inanitesa sana yaani
 
Dada enu ndo anamalizia kupika pilau...likipakuliwa ntalipost humu

tuliooa aseee tupewe nni sie,nani mwingine kaoa huko

NOTE
Oa mwanamke anaejua kupika,mapenzi huisha ila njaa haiishi kamwe[emoji2]
 
Hivi kuna watu wanaoa wanawake hawajui kupika?
 
Back
Top Bottom