The bright one
JF-Expert Member
- Jul 17, 2018
- 272
- 565
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hii imenitamanisha😋😋😋😋😋😋Mabachela tunatambuana kwa misosi konkiView attachment 1212960View attachment 1212963
😋 😋 😋 😋 😋 😋 😋Mabachela wa enzi zetu hatukutaka ujinga kabisa...
View attachment 1212973
Hapa ni kabla Sky Eclat hakurudisha nidhamu ya ulaji
Hongera kwa mapishi na usafi 200%Wali na mchuzi...mchuzi mwingi unaliwa wiki nzima kazi kupika wali tu. Sio bachelor eti unapika mboga saba viungo vyote. Hapo mchuzi una kitunguu na nyanya tu!
Karibuni tuleView attachment 1212957
Unganeni huo ubachela uishe.View attachment 1216438bachela wa kike
Noted Sir
Hao ni dagaa?Ugali na mboga ya majani chukuchukuView attachment 1218680
Naisubiri kwa hamu, thanks in advance 🙂 🙂
Hao ni dagaa?
Hivi Mkuu Unforgetable uliiona hii?Wewe ni bachela kabisa kama mm, bachela og. Nusu kilo ya nyama inakaa wiki nzima, ukipika wali wako unaweka na mchuzi plus finyango 2, wakat huo umekuja na parachichi lako swaafi linanogesha msosi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unforgetable
Hadi leo hajaoa, hatariWewe ni bachela kabisa kama mm, bachela og. Nusu kilo ya nyama inakaa wiki nzima, ukipika wali wako unaweka na mchuzi plus finyango 2, wakat huo umekuja na parachichi lako swaafi linanogesha msosi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unforgetable
Hahah umezoea kwenye mkaa au kuni??Kupika ubwabwa kwenye gas nako ni kipaji hongera sana, bado nakutafutia ile kitu itakufikia tu.
Hahah umezoea kwenye mkaa au kuni??