Huu ndio msosi wa bachela

Huu ndio msosi wa bachela

IMG_2786.JPG
bachela wa kike
 
Wali na mchuzi...mchuzi mwingi unaliwa wiki nzima kazi kupika wali tu. Sio bachelor eti unapika mboga saba viungo vyote. Hapo mchuzi una kitunguu na nyanya tu!

Karibuni tuleView attachment 1212957
Hongera kwa mapishi na usafi 200%

Jmn uchafu siuwezi abadani
I like to cook na mda napika huku nasafisha vitu around
Siwezi kwenda kula jiko liko ovyo

Hadi inanitesa mda mwingine...sijui OCD hii
Kujinusuru priority kubwa ya dada ni usafi
Walau mi nipike bila stress
 
Mi nipo chemba kupika niliona muda hautoshi leo
IMG_20190926_162447.jpg
 
Wewe ni bachela kabisa kama mm, bachela og. Nusu kilo ya nyama inakaa wiki nzima, ukipika wali wako unaweka na mchuzi plus finyango 2, wakat huo umekuja na parachichi lako swaafi linanogesha msosi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Unforgetable
Hadi leo hajaoa, hatari
 
Sijawasha mkaa miaka aisee na hivi viwashio mifuko ya plastic imepigwa marufuku bdo kabisa hata jiko lenyewe sina, wali napika kwa rice cooker nina miaka 8 sasa, mboga kwenye gas maharage nina pressure cooker ya umeme.
Maisha marahisi kabisa.
Hahah umezoea kwenye mkaa au kuni??
 
Back
Top Bottom