Huu ndio Mtihani kwa ACT-Wazalendo: Kukubali maridhiano na kuunda Serikali

Maalim na sisi wazanzibari hatutaki maridhiano tunataka Haki yetu iliyoporwa na wavamizi kutoka Tanganyika wakisaidiwa na JWTZ na majeshi ya kukodi kutoka Burundi
 
Maalim na sisi wazanzibari hatutaki maridhiano tunataka Haki yetu iliyoporwa na wavamizi kutoka Tanganyika wakisaidiwa na JWTZ na majeshi ya kukodi kutoka Burundi
Sitaki kuamini maisha bila maridhiano hasa kwenye siasa na utawala.

Mugabe ili kuwandoa Wakoloni wa Ungereza alifanya mkataba wa maridhiano (Lancaster House Agreement 1979).

Bila shaka baadhi ya Zanzibari wamatamani kuwa na mfumo wa serikali 3 sawia na kile walichopendekeza Kwenye tume ya katiba iliyokuwa chini ya Warioba.

Ila kwa kuwa mchakato uliishia njiani, dawa iliyopo ni kuishi kimkakati huku Malim na akina Jusa wawe sehemu ya utawala kwa kukubali SUK.

Hii ndio njia pekee ya kuendelea kujadiliama mezani na CCM huku maisha na uendeshaji wa Serikali ukiendelea na AcT ikiwamo serikalini.
Ahmad Rashid mbona aliridhia makubaliano na anaendelea kuwatumikia Zanzibari??
 
Maridhiano mara ngapi na CCM huku mkiendelea kuuwa watu ?
Muingereza alimuuwa nani kwenye uchaguzi wa Zimbabwe ?
Rudisheni haki mliyoipora kwa uvamizi , other wise tuishi maisha ya kuuwana kama mnavyoyataka .

Kuridhiana ni kwenye kurudisha haki kwanza
 
I

Yaani tumbili waliharibu shamba lako halafu utoke ukafanye maridhiano nao
 
Vyovyote unavyofikiri nindio uhuru tunaonyimwa na hawa majambazi yanayoifanya nchi ni mali yao.
Zanzibar haihitaji maridhiano inahitaji uhuru wake ilioupata dec. 1963 ukaporwa na Nyerere na genge lake kwa kutuvamia hapo Jan 1964.
Kama unashindwa kuongeza nguvu kusaidia katika vita hii unadhani kuna ukombozi utakaoupata bila kuondoa hivi vikwazo ?
 
Kama unashindwa kuongeza nguvu kusaidia katika vita hii unadhani kuna ukombozi utakaoupata bila kuondoa hivi vikwazo?
 
Kama kweli Hussein anataka maridhiano, kwanza akubali kosa lake na wahafidhina wenzake. Kwa nini tuwe na maridhiano kama hamna makosa. Kwa kuwa ametaka maridhiano ni kuwa anajuwa kuna makosa au sio?. Tuanzie hapo. kama anataka maridhiano na serikali ya umoja kikatiba, ni akubali kosa halafu ndio tuongee hayo maridhiano venginevo kuzungumza tu, hata kasuku anazungumza lakini hajui alizungumzalo. Au munasemaje waungwana?.
 
Kama unashindwa kuongeza nguvu kusaidia katika vita hii unadhani kuna ukombozi utakaoupata bila kuondoa hivi vikwazo ?
Kuongeza Nguvu, kwani sisi tuna majeshi na vifaru ?? au sisi tunaweza kukodi majeshi Burundi ??

Wenye majeshi kama wanataka maridhiano waiambie jumuia ya kimataifa waje kusaidia kusimamia uchaguzi wa huru na haki kwani kwa nyinyi wenye majeshi katu hilo haiwezekani , Maridhiano yatakuja baada ya mshindi halali kupatikana bila mtutu wa bunduki na majeshi ya kukodi
 
Mapambano siyo lazima uwe na jeshi hata kupitia mitandao kama JF au tweeter ni safari ya mapambano ndg mpemba!
 
Yeye Ni kinyago kilichochongwa Dodoma, hana awezalo kufanya lisiloamuliwa na kamati kuu Dodoma.
 
Kwa umwagaji ule wa damu za wazanzibari hakuna aliyetayari na unafiki wa kupewa u makamu wa raisi. Hata shetani hapendi unafiki wa kiwango hicho.
 
Wewe mnafiki, unamsemea Mdee? Wewe ni nani mshenzi wewe.
 
Mapambano siyo lazima uwe na jeshi hata kupitia mitandao kama JF au tweeter ni safari ya mapambano ndg mpemba!
Kama ni hivyo CCM wasingalikodi majeshi kutoka Burundi
 
Nimekutukana sana kwa hoja zako zinazoonyesha kiwango chako duni cha kupambanua mambo. Kwa kifupi mjadala huu huuwezi, kampikie bashawako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…