Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Kama yupo humu atujibu tena kwa hoja, natoa ahadi ya kumsafishaMkuu weka ushahidi atakujibu kama alivyoweka yeye kuhusu sukari...
Jifunze kujibu hoja kwa hoja..
Hakuna asiefahamu habari hii kwa wote wanaoishi mkoani GeitaKipindi watu wanauwawa ulikuwa unajua na ukakaa kimya kwa mlikua hamjatofautiana maslahi?
Sasa atajibu vp kama hakuna ushahidi, toa ushahidi hapa ili aje kukujibuKama yupo humu atujibu tena kwa hoja, natoa ahadi ya kumsafisha
Mpina anashambuliwa kwa sababu kaweka mambo waziMpina anasema anawatoa boriti jichoni mafisadi, mpina atueleze ni nani aliekuwa anawavunja miguu wavuvi , ninani aliekuwa anawafunga wavuvi kwa kesi za hovyo, ni nani aliekuwa anawauwa wavuvi wa kisiwa cha Rubondo kinachopatikana mkoani Geita wilayani Chato..
Rubongo ni National Park,,hivyo ni watu wa TANAPA ndo walikuwa wanawaua,,hata sasa wanakamaya sana sbbbkisheria hurushuiwinhata kupitisha mtumbwi mleMpina anasema anawatoa boriti jichoni mafisadi, mpina atueleze ni nani aliekuwa anawavunja miguu wavuvi , ninani aliekuwa anawafunga wavuvi kwa kesi za hovyo, ni nani aliekuwa anawauwa wavuvi wa kisiwa cha Rubondo kinachopatikana mkoani Geita wilayani Chato..
Rubondo sio RubongoRubongo ni National Park,,hivyo ni watu wa TANAPA ndo walikuwa wanawaua,,hata sasa wanakamaya sana sbbbkisheria hurushuiwinhata kupitisha mtumbwi mle
Hilo swali lipeleke kwa RPC, RC, OC na DC watakuwa na majibu.Mpina anasema anawatoa boriti jichoni mafisadi, mpina atueleze ni nani aliekuwa anawavunja miguu wavuvi , ninani aliekuwa anawafunga wavuvi kwa kesi za hovyo, ni nani aliekuwa anawauwa wavuvi wa kisiwa cha Rubondo kinachopatikana mkoani Geita wilayani Chato..
Mkuu weka ushahidi atakujibu kama alivyoweka yeye kuhusu sukari...
Jifunze kujibu hoja kwa hoja.
Acha uongo kwa hiyo Waziri alikuomba hiyo hela? Hao waliokuwa qanazuia uvuvi haramu ulitaka wawabembeleze? Mpuuzi kweli wewe!Mimi mmoja wapo nilikamatwa na askari waliotumwa kihila na waziri mpina mwaka 2019 nikaamriwa nilipe million mbili kama fine saa Sita za usiku wakiwa na bunduki na walitupeleka baharini usiku mpina hafai kuwa kiongozi