Huu ndio muda muafaka mpina atujibu ni nani aliekuwa anawauwa wavuvi kisiwa cha Rubondo chato..

Mwizukulu mgikuru

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2021
Posts
5,715
Reaction score
13,739
Mpina anasema anawatoa boriti jichoni mafisadi, mpina atueleze ni nani aliekuwa anawavunja miguu wavuvi , ninani aliekuwa anawafunga wavuvi kwa kesi za hovyo, ni nani aliekuwa anawauwa wavuvi wa kisiwa cha Rubondo kinachopatikana mkoani Geita wilayani Chato..
 
Huu ni muda wa mpina kujisafisha ili hata mafisadi anaowatoa boriti jichoni wamuone ni msafi kweli kweli...
 
Mkuu weka ushahidi atakujibu kama alivyoweka yeye kuhusu sukari...
Jifunze kujibu hoja kwa hoja..
 
Mpina anasema anawatoa boriti jichoni mafisadi, mpina atueleze ni nani aliekuwa anawavunja miguu wavuvi , ninani aliekuwa anawafunga wavuvi kwa kesi za hovyo, ni nani aliekuwa anawauwa wavuvi wa kisiwa cha Rubondo kinachopatikana mkoani Geita wilayani Chato..
Rubongo ni National Park,,hivyo ni watu wa TANAPA ndo walikuwa wanawaua,,hata sasa wanakamaya sana sbbbkisheria hurushuiwinhata kupitisha mtumbwi mle
 
Tena kweli kipindi hicho alikuwa waziri wa mifugo na uvuvi
 
Mpina anasema anawatoa boriti jichoni mafisadi, mpina atueleze ni nani aliekuwa anawavunja miguu wavuvi , ninani aliekuwa anawafunga wavuvi kwa kesi za hovyo, ni nani aliekuwa anawauwa wavuvi wa kisiwa cha Rubondo kinachopatikana mkoani Geita wilayani Chato..
Hilo swali lipeleke kwa RPC, RC, OC na DC watakuwa na majibu.

Kijana wa hovyo kabisa wewe.
 
Mimi mmoja wapo nilikamatwa na askari waliotumwa kihila na waziri mpina mwaka 2019 nikaamriwa nilipe million mbili kama fine saa Sita za usiku wakiwa na bunduki na walitupeleka baharini usiku mpina hafai kuwa kiongozi
Mkuu weka ushahidi atakujibu kama alivyoweka yeye kuhusu sukari...
Jifunze kujibu hoja kwa hoja.
 
Mimi mmoja wapo nilikamatwa na askari waliotumwa kihila na waziri mpina mwaka 2019 nikaamriwa nilipe million mbili kama fine saa Sita za usiku wakiwa na bunduki na walitupeleka baharini usiku mpina hafai kuwa kiongozi
Acha uongo kwa hiyo Waziri alikuomba hiyo hela? Hao waliokuwa qanazuia uvuvi haramu ulitaka wawabembeleze? Mpuuzi kweli wewe!
 
Mpina kawekq mambo wazi!, lakini kipindi chake cha uwaziri alifanya umbumbavu mwingi sana.
 
Hii nchi Ina vitu vya chinichini, Sa Mvuvi unamuua ili iweje.
 
Mleta mada mafindo gako.ulichukua hatua Gani kama yote hayo unayomtuhumu mzalendo aliyafanya?ulienda kumshitaki?au unangoja nani amshitaki?
 
Back
Top Bottom