Huu ndio muonekano mpya wa Sanamu ya Mwalimu Nyerere baada ya kukarabatiwa

Hivi kweli wamekosa kutumia hata 3D printing kwa kichwa na sura tu.

Aisee, ndiyo wamezidi kumnyongo'onyesha.

Akamatwe huyu alalishwe na Picha akiamka na picha akienda kazini na picha.

Nina makasiriko kweliπŸ˜‚πŸ”₯😊
 
Kama hatuna watengeneza Sanam wabobezi, situtafute nje tu.

Sasa huyu ni Nyerere au ??.

Sanam inabidi ijieleze kama ilivyo picha, ya kwamba MTU akiona picha yangu anajua huyu ni Carlos .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…