Huu ndio muonekano mpya wa Sanamu ya Mwalimu Nyerere baada ya kukarabatiwa

Huu ndio muonekano mpya wa Sanamu ya Mwalimu Nyerere baada ya kukarabatiwa

Hata Mwenyewe, naamini anashanga.

Mizimu ya Ikizu leo Hailali Butiama
iu
 
Ulikutana naye wapi.
Taratibu kijana,.miaka hiyo utotoni
Nmekukulia st Peters pale kanisani na nmetumikia...mara kadhaa alipokuwa anakuja kusali tunamuona
Kwake nyumbani msasani yenyewe nishaenda kumtembelea baada ya kustaafu
Nikiwa na mtoto wa aliyekuwa bodyguard wake 😄
Watu mjini hapa kitambo

Ova
 
Back
Top Bottom