Huu ndio muonekano mpya wa Sanamu ya Mwalimu Nyerere baada ya kukarabatiwa

Niko kwenye kadamnasi, nmejizuia kucheka ila wapi
 
Ulikutana naye wapi.
Taratibu kijana,.miaka hiyo utotoni
Nmekukulia st Peters pale kanisani na nmetumikia...mara kadhaa alipokuwa anakuja kusali tunamuona
Kwake nyumbani msasani yenyewe nishaenda kumtembelea baada ya kustaafu
Nikiwa na mtoto wa aliyekuwa bodyguard wake πŸ˜„
Watu mjini hapa kitambo

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…