Huu ndio Muonekano Mpya wa Ukuta ndani ya Ofisi ya Mwenyekiti wa Chadema

Mbona nimeona Uzi kuwa hajakabidhiwa ofisi, hiyo picha nani kaweka.
 
1,2,3 wameingia ktk njia bila kutukanana. 4 kaingia kwa njia ya hila, kudhalilisha, kutukana alimradi tu akalie kiti
Wewe hujaona hayo macho? Na hapo ndipo lilipoanzia tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…