Huu ndio Muonekano Mpya wa Ukuta ndani ya Ofisi ya Mwenyekiti wa Chadema

Huu ndio Muonekano Mpya wa Ukuta ndani ya Ofisi ya Mwenyekiti wa Chadema

Common denominator ya Lissu na Trump ni kupenda conspiracy theories. Leo hii ukimuambia Trump (bila ushahidi) wowote kwamba ushindi wa Kamala kwenye 50% ya majimbo aliyoshinda ulitokana na election fraud, Trump atapaa na hilo dai kwa nguvu zake zote. Vivyo hivyo Lissu. Mpe dai lolote dhidi ya opponent wake na atapaa nalo!
asante sana... umeeleza vema kabisa! lakini hilo siyo character assassination kati ya Trump na kamala kama aliyomfanyia Lisu na kundi lake kwa Mbowe. Mwizi, mla rushwa, mkabila, mzinzi covid 19 ni malaya wake.....
 
sijapenda hata kidogo muonekano wa mwisho kuwa pale kwa KUWABAGAZA WENZAKE,wameiba hela, wanakula rushwa ya abdul na mama yake...hii siyo kampeni hata kidogo... ULAFI WA MADARAKA
Naunga mkono kabisa,, ushindi wake hauna raha, ametukana sana wenzake ili ashinde, hana haya
 
sijapenda hata kidogo muonekano wa mwisho kuwa pale kwa KUWABAGAZA WENZAKE,wameiba hela, wanakula rushwa ya abdul na mama yake...hii siyo kampeni hata kidogo... ULAFI WA MADARAKA
Kama wamekula hela za mama ake dula wasiambiwe ebo,
 
Uko sahihi lakini historia iwekwe sawa! Next time watu watafute madaraka kwa kauli za ukweli na si kuwachafua (character assasination) kwa wenzao...

Mfano, Sema Mbowe hakununua helcopter ya kampeni, mimi nitaleta 2 za chama, mali ya chama , then baadaye usilete..hiyo inakubalika, mbinu ya kushinda.

Lakini kuwa Mbowe kaiba hela za join the chain kwenye akaunti yake nairobi....hii siyo sawa ya kufumbia macho
Usiwapangie,
 
Ka
Kushinda siyo hoja. Hoja ni kuwafedhehesha wenzake. Kushinda wacha ashinde.

lete clip ambayo say Mbowe alisema Lisu kaiba hela za chama...kumbagaza..character assassination ..hiyo siyo kampeni, ni kuumiza heshima ya mtu. lazima nikuchukie milele

IkuwaBy the way, kwanini Mbowe hakutokea kukabidhi? Kuna kitu hakiko sawa, siyo dalili nzuri
KAma walikuwa hawataki kufedheheshwa kama unavyodai wasingegombea, ungesikia mawe waliyokuwa wanarushiana trump na kamara bado kampeni za lisu na mbowe zilikuwa za kistaarabu sn
 
Naunga mkono kabisa,, ushindi wake hauna raha, ametukana sana wenzake ili ashinde, hana haya
Amentukana sana Mbowe, matusi ya kumvujia mtu heshima... mara mwizi, mara mla rushwa, analamba sali, mara ameahidiwa mkate nusu....... udhalilishaji mkbwa.....sikiliza clip hii
 

Attachments

  • LISU.mp4
    79.2 MB
MWenyekiti aliyemaliza muda wake alikuwepo kumkabidhi kiti mwenyekiti mpya?
 
Back
Top Bottom