Huu ndio Muonekano Mpya wa Ukuta ndani ya Ofisi ya Mwenyekiti wa Chadema

Huu ndio Muonekano Mpya wa Ukuta ndani ya Ofisi ya Mwenyekiti wa Chadema

Lisu kawabwaga wachaga hatimaye......na anamaanisha mwisho wa chadema yenye akili. Lisu huwa anadhani ana akili na upeo kuliko wwngine na hapo ndo anguko lake na chadema lilipo. Anatamani mapambano ila busara ya kupambana hana
 
Hayo yamepita mkuu, tujenge Chama
Uko sahihi lakini historia iwekwe sawa! Next time watu watafute madaraka kwa kauli za ukweli na si kuwachafua (character assasination) kwa wenzao...

Mfano, Sema Mbowe hakununua helcopter ya kampeni, mimi nitaleta 2 za chama, mali ya chama , then baadaye usilete..hiyo inakubalika, mbinu ya kushinda.

Lakini kuwa Mbowe kaiba hela za join the chain kwenye akaunti yake nairobi....hii siyo sawa ya kufumbia macho
 
Kwa muonekano huo sasa ile mada ya uenyekiti wa kudumu, imekufaaa!
Maana ilianza kuwa na mashiko! 😄
 
1,2,3 wameingia ktk njia bila kutukanana. 4 kaingia kwa njia ya hila, kudhalilisha, kutukana alimradi tu akalie kiti
Inakuaje Kikwete alipoita wachawi Nyerere, mwiny,mkapa na Magufuli wameshakufa??
 
Mtei alikuwa na "makengeza"! Mkwe wake Mbowe, naye ana makengeza! What a coincidence ?
Kuna theory kuwa mabinti mara nyingi hupenda wanaume ambao wanafanana kitabia au muonekano na baba zao.Haswa kama baba aliishi vizuri na mabinti zake.
 
Back
Top Bottom