Huu ndio Muonekano Mpya wa Ukuta ndani ya Ofisi ya Mwenyekiti wa Chadema

Huu ndio Muonekano Mpya wa Ukuta ndani ya Ofisi ya Mwenyekiti wa Chadema

maoni yangu ni kwamba unaona aibu mumeo kukosa uenyekiti ulizoea kulamba miguu yake sasa lamba na ya lissu sasa hataki ujinga huyo
... kwanini watu hupenda kuleta personal issues na kwenda nje ya mada mezani?
... mmieshashinda na ofisi ni yenu, kwanini umkoseshe raha Erythrocyte ? NA HUWEZI KWANZA! TIME GONNA SPEAK!
 
maoni yangu ni kwamba unaona aibu mumeo kukosa uenyekiti ulizoea kulamba miguu yake sasa lamba na ya lissu sasa hataki ujinga huyo
Hujawahi kunifahamu, laiti ukinijua utakimbia JF kwa aibu
 
sijapenda hata kidogo muonekano wa mwisho kuwa pale kwa KUWABAGAZA WENZAKE, ULAFI WA MADARAKA
Common denominator ya Lissu na Trump ni kupenda conspiracy theories. Leo hii ukimuambia Trump (bila ushahidi wowote) kwamba ushindi wa Kamala kwenye 50% ya majimbo aliyoshinda ulitokana na election fraud, Trump atapaa na hilo dai kwa nguvu zake zote. Vivyo hivyo Lissu. Mpe dai lolote dhidi ya opponent wake na atapaa nalo!
 
Picha ya mbowe sio official picture for the office amewekwa poziiii
 
sijapenda hata kidogo muonekano wa mwisho kuwa pale kwa KUWABAGAZA WENZAKE, ULAFI WA MADARAKA
Kosa la Lissu ni nini?...kumshinda Mbowe?....kwani wafuasi wa Mbowe hamkumbagaza Lissu ?
 
Kosa la Lissu ni nini?...kumshinda Mbowe?....kwani wafuasi wa Mbowe hamkumbagaza Lissu ?
Kushinda siyo hoja. Hoja ni kuwafedhehesha wenzake. Kushinda wacha ashinde.

lete clip ambayo say Mbowe alisema Lisu kaiba hela za chama...kumbagaza..character assassination ..hiyo siyo kampeni, ni kuumiza heshima ya mtu. lazima nikuchukie milele

By the way, kwanini Mbowe hakutokea kukabidhi? Kuna kitu hakiko sawa, siyo dalili nzuri
 
Back
Top Bottom