Uhakika Bro
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 3,644
- 4,315
Waweke na.......
What i mean to say is there's no justifiable action to improve what is shown on the picture
You can't polish a turd 😐😐😐
Niliwai kusema hspa kuwa treni hilo la EMU la mchongoko wanalo taka watu wapande kwa bei kubwa zaidi ni duni kuliko lile la kawaida lililoanza kazi .. sasa hapo ndiyo kituko kilipo na haya ni madhara ya mipango mibovu za serikali pumbavu ya sisiemu ....yani mtu alipe 150000 kupanda treni duni wakati akipanda treni bora analipa 70000...?..huo. mchongoko una hadhi ya TRAM tu yani kutumika kama BRT za mijini hapo ingekuwa sawa hata viti vyake ni vidogo kufaa kuwa kama basi la daladala tu ....naishauri serikali pumbavu ya sisiemu kufanya haya yafuatayo kwa EMU zitakazo kuja wawaite waundaji wa waje wafanye maboresho kwa kuangalia sgr ya kawaida na hiyo ya EMU kwa hoja kuwa,EMU ni lazima iwe nzuri zaidi kwa ndani kuliko ile ya kawaida .....mapungufu yaliyopo kwenye hiyo EMU ni mengi kuifanya kuwa ya bei juu ni kituko ...mfano wa mapungufu ni taa..taa zipo chache ...tv chache ...viti ni vidogo hakuna sehemu ya kuwekea hata chai au maji ya kunywa nadhani haya yote yametokana na viti kuwa na uwezo wa kuzunguka hivyo imefanya viwe vidogo na kukosa baadhi ya mambo kama kimeza cha kukunjua ...pia bora hiyo EMU ingekuwa na speed kubwa ya 200km/h tunge sema ina hadhi ya kuwa na bei juu kuliko ile sgr ya kawaida ...waboreshe soeed yake...nk ....tren siyo baya ila wakisema kuwa ni ROYAL HAPO NI KOSA KUBWA SANA bei iwe juu kidogo kabda izidi kwa sh 20000 tuHakuna hata sehemu ya kuweka chupa ya maji
😂Itakua ww ni kanda Ya ziwa umejuaje hilo gari maana niliwahi kulipanda sio poaHaha Kweli ila atleast ila sio Viti vya Super Najumnisa
Dharau sasaYani royal class ina seat kama za isamilo🤣
Unaangaliana na mtu hadi ukifika na kushuka, bado sura yake iko kichwani🤣🤣Nilipe laki na nusu kuangaliana na MTU ndani ya SGR??!! Si Bora nipande shabiby tu
Wajaluo wametunyuka kwa hili gogo letu seat kama za porteZote za Kenya na Tanzania sijazielewa hizo siti, kwenye Vip siti inatakiwa iwe pana ndio unapata ile comfort na kutochoka.
Hizi siti za behewa gani
Naomba sana sana yarudi yalikotokaNauli ya hii treni mpya ya Royal ni Laki na Hamsini (150,000) Dar mpaka Dodoma.
Na huu ndio muonekano wake ndaniView attachment 3140258
Watu wengi wamepatwa naa kigugumizi kuhusu gharama za behewa hili ukilinganisha na ubora.
Hili hapa ni behewa la Royal kwa SGR ya Kenya, wenzetu wako mbaliView attachment 3140260
View attachment 3140261
Wadau wengine wanadai ni bora siti za mabasi zina ubora mzuri kushinda Royal Class ya SGRView attachment 3140263Yapi maoni yako?
Na huwezi kuelewa kwa kuwa huna akiliZote za Kenya na Tanzania sijazielewa hizo siti, kwenye Vip siti inatakiwa iwe pana ndio unapata ile comfort na kutochoka.
Nimewahi kufanya Kazi Huko 😂😂😂🤣🤣😂Itakua ww ni kanda Ya ziwa umejuaje hilo gari maana niliwahi kulipanda sio poa
Nimewahi kufanya Kazi Huko 😂😂😂🤣🤣
Miaka Fulani ya 2004 mpaka 2011
Mwanza
Imagine hapo ndio umepanda na mtu kama Mwigulu, Hell No!!Unaangaliana na mtu hadi ukifika na kushuka, bado sura yake iko kichwani🤣🤣
Ati kifalme.Nauli ya hii treni mpya ya Royal ni Laki na Hamsini (150,000) Dar mpaka Dodoma.
Na huu ndio muonekano wake ndani
Shida Ni kwamba hata wananchi wasipokubalina na hao viongozi,wananchi hawana la kufanya , so sad.Duh viongozi wa Tanzania! Wanahisi hii dunia ya 2024 ni sawa na dunia 1940 kwamba unadaganya kitu na wananchi wanakukubalia.
Labda ufalme wa Kizim-jobAti kifalme.
Kwa ufalme gani hapo.
Au anyway kifalme mwaka 1950 hapo sawa
sasa iyo ni royal class,? Na vilivyo vidogo kwanza mshangazi wangu hautoshei hapo🤣😂Itakua ww ni kanda Ya ziwa umejuaje hilo gari maana niliwahi kulipanda sio poa
Dharau sasa