Huu ndio muonekano wa David Banda (Mtoto wa Mwanamuziki Madona)

Wazungu walivyokuwa mashenzi ukute mama amemfunza mtt njia hio kwa makusudi. Hawana dhamana ht chembe. Ukijichanganya nao umekwisha
Wazungu kweli sio watu wazuri lakini kumfundisha hili hapana.
Hiyu dogo atakuwa kawahi na wahuni shuleni.
Shida yao hawawezi kukemea endapo mtoto atachagua kuwa hivyo.
 
Mungu aturehemu, wazaz tuna safar ndefu sana ktk hiki kizaz. Mungu atutie nguvu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…