Huu ndio muonekano wa David Banda (Mtoto wa Mwanamuziki Madona)

Kuna Zungu moja linamtolea macho na udenda ni kama linasema hili choko sijui nitalipataje.
 
Alimuadobt ili amgeuze awe hivyo.Daima mzungu hana upendo wa dhati kwa muafrica
Hebu Waswahili acheni kuhitimisha msiyoyajua.

Kwanza una uthibitisho gani kama huyo Jamaa kawa Shoga?, au kwa kuwa kavaa hivyo?..huyo huenda ni ulimbukeni tu wa "Masikini akipata...".

Na hata kama amekuwa hivyo unamuingizaje Madona na kutaka kuiondoa nia yake njema ya tangu awali?...kwamba angetaka kuwa Msomi, Msanii au Mwanamichezo bora angemzuia?

Madona sio Mzungu wa kwanza wala wa mwisho kufanya hisani ya aina hiyo, wapo wengi wala hawatangazi na sio Watu Marufu kama Madona.

Ile St Jude ya Arusha inapokea Watoto wasio na uwezo wa kugharamia Masomo ambayo Wenzenu wenye uwezo na nyadhfa wanawasomesha Watoto wao Shule kama zile...sasa utoke huko wewe uanze kubeza Watu wanaosimamia ile Shule kwamba wana nia ovu?.

Sisi Watu Masikini hatujiamini kabisa, tunahisi tunaonewa tu kila wakati.
 

mbona yuko fresh tuu?1? hilo dela alivaa kushindana na watoto wa mastar wengine maana ni bei aghali sana

huyu ni jodieTunner Smith
huyu ni Joddie Tunner Smith
 
Kiherehere na kihedemsede

Nimeshacomment haifutiki hio kama umechukia pasuka kisha jitie doko nusa ulambe
 
Na wewe ndio wale wale usijibaraguze!!! Come out!!
Nijibaraguze kwa kipi? Unaumia mnooo? Vimba hadi upasuke, sasa ndo hivyo dela kavaa na anashaukwa ki gay. Una lipi jingine?

Poleeeeeeh [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Nijibaraguze kwa kipi? Unaumia mnooo? Vimba hadi upasuke, sasa ndo hivyo dela kavaa na anashaukwa ki gay. Una lipi jingine?

Poleeeeeeh [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Inaelekea huna shida na WASAGAJI na WASENGE?
 
Bora wasingempa mtoto Africa waweke sheria kama mtu anataka ku adopt mtoto kutoka Africa basi awe mwafrika au waishi africa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…