Star onair
Senior Member
- May 31, 2020
- 144
- 145
Am selling hacked Netflix channel. With unlimited bandle.
Serious buyer pm me
Serious buyer pm me
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ivi iliishia season ngapi ile season ni moto japo ya mda Mussa na mdgo wakeMkuu hiyo nineicheki nasubir season 2, pia kuna series inaitwa jack ryan nayo ni moto sana.
Zote nilizozitazama zilizomo kwa hii list ni kali.. Nimeamua kuiamini list yako 100%. Kila mwezi nitatafuta masaa mawili, kabla 2021 haijaisha nitakuwa nimemaliza.Wapendwa habari ya mapumziko ya Ijumaa Kuu.
Napenda kuwashirikisha mzigo wa Movies za ukweli nilizo nazo ili ukipata muda hasa kipindi hiki cha mapumziko marefu uzitazame(sema ndio hivyo bando ziko juu)
Hizi ziko kwenye simu yangu hivyo nazitazama popote pale.(uwezo wa simu..internal Gb 256 na memory card Gb 256)
BAADHI ya Movies hizo ni.
1. 7 days in Entebbe.
2. 12 years of slave.
3. 21 Bridges.
4. Addicted.
5. American sniper.
6. Atomic blonde.
7. Bangkook dangerous.
8. Blood and Bones.
9. Colombiana.
10. Django unchained.
11. Enemy at the gate.
12. Fifty shades ...zote.
13. Godfather....zote.
14. Godfather of Harlem..series full.
15. Hacksaw Ridge.
16. Home of the brave.
17. Bravo to zero.
18. Ipman ...zote.
19. Mission impossible...zote.
20. Expendables...zote.
21. Jason bourne...zote.
22. Taken ...zote.
23. Shooters movie and series full.
23. RED..zote.
24. Rules of engagement.
25. Lone survivor.
26. John wick ...zote.
27. Salt.
28. 24 hours.
29. 13hours Benghazi.
30. Hitman bodyguard.
31. Leon the professional.
32. Second in command.
33. War dogs.
34....
Oohh...list ni ndefu Sana..hangaikeni na hizo kwanza.
Je umetazama au unaikubali ipi.?
Karibuni.
ina season 2,season 2 imeektiwa venezuela ni balaa huko kulikua na civil warivi iliishia season ngapi ile season ni moto japo ya mda Mussa na mdgo wake
Hivi kwa nini waliifungia?Treadstone nilisikia imefungiwa hawatatoa season 2 yake.
Ni one of the best series ambazo nimeziangalia.
Homeland ya moto balaa.1. Person of interest
2Homeland
3.Manifest
4.Revolution
5.Treadstone
6 .Condor
7.Security( single movie)
8.The commuter(single movie)
9.The girl in the spider web(single movie)
10.Black Hawk down(single movie)
11.Black panther
12 .The 100
Hvi hii person of interest ina maudhui gani?? Huwa naonaga ikisemwa semwa humu1. Person of interest
2Homeland
3.Manifest
4.Revolution
5.Treadstone
6 .Condor
7.Security( single movie)
8.The commuter(single movie)
9.The girl in the spider web(single movie)
10.Black Hawk down(single movie)
11.Black panther
12 .The 100
Idadavue kdg mkuuduh,bonge moja la series,nitasimulia wajukuu zangu hili dude,kuna nyingine iliwahi kufungiwa inaotwa traveler(2007) umewahi kuisikia hii mkuu?
Viking ni bonge la history movieBarbarians (series)
Viking
Tribes of Europa
Unaonekana sio mpenz sana wa series mzee, storage ya cm yako sio mchezo.Jack Ryan nimeitazama movie yake..mzuri sana.
The Witches season two naisubiri