Mkalimani wa taifa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2020
- 753
- 1,290
hii ni full action,kuna jamaa humu anaitwa finch,huyu finch ametengeneza computer system inayofutilia mifumo yote ya camera na mawasiliano pia yenye uwezo wa kutabiri tukio la kigaidi kabla halijatokea, itafute Mkuu hutojutaHvi hii person of interest ina maudhui gani?? Huwa naonaga ikisemwa semwa humu