Huu ndio Mzigo wangu wa Movie

Huu ndio Mzigo wangu wa Movie

Hapan mkuu nimeishia epsod 15


But ni og isiyotafsiriwa ............kwan zpo ngap mkuu
Apo zipo 34 kwenye iyo app inaonekana ni complete ina season 3 episode 34 ndio nataka nizipakue natafuta tu mtandao wenye bando la usiku nimalize kaz
 
Kuna series inaitwa Tehran nayo ipo bomba sana
mkuu achana na ile kitu ile movie ni reality kabisa ya espionage yani hakuna cha kudanganyana ....nasubili season 2 ila mpk 2022😵😳
 
1. Person of interest
2Homeland
3.Manifest
4.Revolution
5.Treadstone
6 .Condor
7.Security( single movie)
8.The commuter(single movie)
9.The girl in the spider web(single movie)
10.Black Hawk down(single movie)
11.Black panther
12 .The 100
Dah homeland bwana naikubali sana
 
Wapendwa habari ya mapumziko ya Ijumaa Kuu.

Napenda kuwashirikisha mzigo wa Movies za ukweli nilizo nazo ili ukipata muda hasa kipindi hiki cha mapumziko marefu uzitazame(sema ndio hivyo bando ziko juu)
Hizi ziko kwenye simu yangu hivyo nazitazama popote pale.(uwezo wa simu..internal Gb 256 na memory card Gb 256)

BAADHI ya Movies hizo ni.
1. 7 days in Entebbe.
2. 12 years of slave.
3. 21 Bridges.
4. Addicted.
5. American sniper.
6. Atomic blonde.
7. Bangkook dangerous.
8. Blood and Bones.
9. Colombiana.
10. Django unchained.
11. Enemy at the gate.
12. Fifty shades ...zote.
13. Godfather....zote.
14. Godfather of Harlem..series full.
15. Hacksaw Ridge.
16. Home of the brave.
17. Bravo to zero.
18. Ipman ...zote.
19. Mission impossible...zote.
20. Expendables...zote.
21. Jason bourne...zote.
22. Taken ...zote.
23. Shooters movie and series full.
23. RED..zote.
24. Rules of engagement.
25. Lone survivor.
26. John wick ...zote.
27. Salt.
28. 24 hours.
29. 13hours Benghazi.
30. Hitman bodyguard.
31. Leon the professional.
32. Second in command.
33. War dogs.
34....

Oohh...list ni ndefu Sana..hangaikeni na hizo kwanza.

Je umetazama au unaikubali ipi.?

Karibuni.

Yaonekana unapenda movie za mapambano. Sijaona horror cjaiona mystery
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Kuna series inaitwa Tehran nayo ipo bomba sana
Screenshot_20210409-143649.jpg
hatari sana
 
Najua humu ndani wengi wenu mnapenda kudownload movies kupitia Netflix Ila tatizo lipo katika kujiunga vifurushi vyao.
Sasa ONDOA shaka
Ninaunganisha Netflix channel itakayokuwezesha kutumia bila kujiunga kifurushi chao yaani ni wewe tu na Mb zako utawatch na kudownload movies hata miaka na miaka.
KWA wale mlio serious ni pm njoo na offer yako
 
Kuna hiyo Adore..vijana wawili wanageuziana kibao kwa kila mmoja kudate na mama wa mwenzie.
 
Back
Top Bottom