Huu ndio Mzigo wangu wa Movie

Hapan mkuu nimeishia epsod 15


But ni og isiyotafsiriwa ............kwan zpo ngap mkuu
Apo zipo 34 kwenye iyo app inaonekana ni complete ina season 3 episode 34 ndio nataka nizipakue natafuta tu mtandao wenye bando la usiku nimalize kaz
 
Kuna series inaitwa Tehran nayo ipo bomba sana
mkuu achana na ile kitu ile movie ni reality kabisa ya espionage yani hakuna cha kudanganyana ....nasubili season 2 ila mpk 2022😵😳
 
1. Person of interest
2Homeland
3.Manifest
4.Revolution
5.Treadstone
6 .Condor
7.Security( single movie)
8.The commuter(single movie)
9.The girl in the spider web(single movie)
10.Black Hawk down(single movie)
11.Black panther
12 .The 100
Dah homeland bwana naikubali sana
 

Yaonekana unapenda movie za mapambano. Sijaona horror cjaiona mystery
 
Reactions: BRN
Najua humu ndani wengi wenu mnapenda kudownload movies kupitia Netflix Ila tatizo lipo katika kujiunga vifurushi vyao.
Sasa ONDOA shaka
Ninaunganisha Netflix channel itakayokuwezesha kutumia bila kujiunga kifurushi chao yaani ni wewe tu na Mb zako utawatch na kudownload movies hata miaka na miaka.
KWA wale mlio serious ni pm njoo na offer yako
 
Kuna hiyo Adore..vijana wawili wanageuziana kibao kwa kila mmoja kudate na mama wa mwenzie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…