inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Hutoi sadaka mbalimbali!?Hakuna kitu kama hicho kwenye Kanisa Takatifu Katoliki la Mitume.
Maji ya baraka hutolewa bure kwa muumini yeyote yule!! Ekaristi Takatifu hutolewa bure wakati wa misa kwa Waamini waliojiandaa tu!
Divai hutumiwa na Mapadre wakati wa misa, na pia kwa waaamini nyakati fulani fulani!! Mfano wakati wa kufunga ndoa, komunyo ya kwanza, nk.
Hakuna sadaka unazotoa!?Hakuna kitu kama hicho kwenye Kanisa Takatifu Katoliki la Mitume.
Maji ya baraka hutolewa bure kwa muumini yeyote yule!! Ekaristi Takatifu hutolewa bure wakati wa misa kwa Waamini waliojiandaa tu!
Divai hutumiwa zaidi na Mapadre wakati wa misa, na pia kwa waaamini nyakati fulani fulani!! Mfano wakati wa kufunga ndoa, komunyo ya kwanza, nk.
Sasa usipotoa sadaka, Mapadre wetu na Watawa wataishi vipi? Na wakati wamejitolea maisha yao yote hapa duniani kulitumikia Kanisa la Mungu?Hutoi sadaka mbalimbali!?
Ndo yaleyale ya kuuziwa huduma Kama wale uliowakosoa huko juu,mbona masheikh wanapinga dili zao hawategemei sadaka!?..sadaka ni kwa ajili ya mazulia,maji,umeme na watu wenye shida walienda misikitiniSasa usipotoa sadaka, Mapadre wetu na Watawa wataishi vipi? Na wakati wamejitolea maisha yao yote hapa duniani kulitumikia Kanisa la Mungu?
Marekebisho ya nyumba ya Mungu yatafanywa na nani, kama siyo sisi waumini?
Huduma mbalimbali kwenye nyumba zetu za ibada zitalipwa na nani, ka siyo sisi waumini? Mfano ununuzi wa vifaa vya kuendeshea misa, malipo ya wahudumu mbalimbali, nk!!
By the way, hiyo sadaka na zaka huwa tunatoa kwa hiyari. Na hatutoi huku tukiwa tumesimamiwa na mtutu wa bunduki.
Au unataka uniambie na nyinyi msikitini kwenu huwa hamtoi sadaka na zaka?
Sipo hapa kuhitaji sadaka ya mtu, wala katika mabandiko yangu sitakaa sitakaa niweke namba yangu ya simu kwa sababu hilo siyo lengu langu.Maelezo mareeefu! Ila mwisho wa siku kinachotafutwa hapo ni sadaka tu kutoka kwa wajinga. Nashangaa umesahau kuweka namba ya simu ya kufanikishia hiyo miamala ya pesa.
Achana na hadithi zisizo na kichwa wala miguu. Mungu wala shetani hawapo.
Umeshageneralize kwamba kila mtu anauza maji na chumvi na sabuni?Tafuteni kazi halali za kufanya. Masuala ya kuwauzia wajinga maji, lesso, mafuta, chumvi, sabuni, nk kwa bei ya kulangua! Ni wizi na utapeli wa wazi kabisa.
Ningekuwa na mamlaka, ningewakamata wote huko mjini, na kuwapeleka mashambani mkalime.
We si Mkatoliki?Maandiko mengi ya Mtume Paulo ni maoni yake binafsi.
Biblia inalitafsiri kanisa kama kusanyiko la watu waliokusanyika pamoja kumuomba Mungu.Kanisa Katoliki ni mti wenye matunda mazuri.
Tate mkuu nimeshuka chini nikaona wewe pia ni mkatoliki,(Kuna sehemu umecoment),plz Muombe Mungu Tena kwa comment hii utagundua jamaa ana kitu, Rudi kwenye misingi ya kikristo, usiwaze sana kwa kutumia misingi ya kanisa,,hautamwelewa mtu kamweTafuteni kazi halali za kufanya. Masuala ya kuwauzia wajinga maji, lesso, mafuta, chumvi, sabuni, nk kwa bei ya kulangua! Ni wizi na utapeli wa wazi kabisa.
Ningekuwa na mamlaka, ningewakamata wote huko mjini, na kuwapeleka mashambani mkalime.
Lakini yote shetani kaaiga kwa Mungu,Kuna mambo mengi yanaonekana kufanana kati ya Ibada ya Mungu na ibada ya Shetani. Mstari ni mwembaba sana unaotofautisha ila ukisoma unaelewa.
Science imeshindwa kuprove uhai?Mungu akusaidie Ndugu yangu. Kwa sababu Mungu hatumuoni physically si justification ya kwamba hayupo.
Science imeshindwa kuprove madai mengi kuanzia tu kwenye uhai wetu.
Kiukweli hii dini utapeli mwingi sanaTafuteni kazi halali za kufanya. Masuala ya kuwauzia wajinga maji, lesso, mafuta, chumvi, sabuni, nk kwa bei ya kulangua! Ni wizi na utapeli wa wazi kabisa.
Ningekuwa na mamlaka, ningewakamata wote huko mjini, na kuwapeleka mashambani mkalime.